Recent content by Mgaya D.W

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa "flats" 20 za ghorofa nne kwa Tshs bilioni 10, kila flat ni Tshs milioni 500. Twende kazi!

    [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  2. M

    JamiiForums Tanzania Live Star TV: Mwana CHADEMA David Kafulila

    IPI ni itikadi, falsafa na dhamira ya Mh Magufuli? Pengine ikasaidia kujua namna ya kuenda na mikakati mbadala ya kuleta maendeleo
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kwanini inatetea kila mtu anayetumbuliwa?

    Next time andika wa tukio la kwanza mpaka la mwisho na responses za wapinzani. Kujadili kuwa wapinzani wanapinga kila kitu pasi kutaja hivyo vitu ni kuondoa uhalali wa mada yako kujadilika. Wengine tu wasomaji hapa,usitufanye kuandika kisichostahili. Kuna ulevi Fulani umeingia Mkuu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kwanini inatetea kila mtu anayetumbuliwa?

    It's too low to discuss Bro!
  5. M

    JamiiForums Tanzania KAFULILA Mbashara Chanell 10 Leo!

    You need to grow up
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kadi ya gari BMW X5 inahitajika

    nyota79, Kuwa makini hicho ulichoandika hakina maana labda kama unatengeneza movie
  7. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli 2015-2020: Matarajio ya uchumi na changamoto zake

    Mkuu Kobello, Kwanini sehemu Kubwa ya maandishi yako unamjadili Mchambuzi badala ya hoja zake? Na uchambuzi ni kuonesha matatizo yaliyopo,vyanzo vya matatizo ama viashiria na pia kutafuta ufumbuzi wa matatizo hayo,kwako ni tofauti. Mimi ni msomaji mzuri na nawafuatilia kila hatua. You're...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Waziri Mkuu Majaliwa asema Serikali ipo mbioni kuanza kutoa vibali vya ajira

    Nchi inafanyiwa majaribio[emoji35]
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni heri niapishwe kuwa Rais kipindi hiki.(take note).

    [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kijue chombo maalumu Inkwizisheni (Inquisition) cha kutesa

    [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji87]
  11. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Rais Magufuli anatekeleza Katiba Mpya

    [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  12. M

    JamiiForums Tanzania Duru za Siasa: Matokeo ya Uchaguzi Marekani

    Mkuu Mag3, Umeamua kuuendeleza huo utanzania kwa kupiga ramli chonganishi? Naendelea kujifunza toka kwenu nyote.[emoji120]
  13. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Rais Magufuli anatekeleza Katiba Mpya

    Kwahiyo Rais hailindi na kuitetea pia hahifadhi Katiba aliyoapa kuilinda?[emoji15]
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huu msalaba wa Maamuzi mabovu unabebwa na nani? - Zitto Kabwe

    Umeandika mengi yote ni dukuduku lako kuhusu andiko la Mh Zitto. Umejikita Kwenye ndege,je hukuona hoja zake?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Maghembe asihusishwe na kashfa ya Faru John

    Nionacho ni kuwa PM anamtengenezea Mazingira Mkuu,but ni kama PM ndo kakomalia ila mwenyewe hashtuki. Siasa ni kuviziana,naona hawako kwenye timing bado.
Back
Top Bottom