Hahahaha walifanya makabidhiano mbele ya camera na waandishi wa habari jamaa akajua ndio ameshakabidhiwa.....Boss, ni kweli waziri alikuwa wizara nyingine lakni ukweli ni kwamba unapokabidhiwa ofisi ambayo mwenzako anaiacha lazima kuwe na "makabidhiano rasmi" na si vinginevyo,,,,! Kama ni kweli hayo makabidhiano yalifanyika kati ya waziri aliyekuwa anaondoka na waziri aliyekuwa anaingia, ni kwa nn,, ,????
1:Hili sakata la kupotea Faru John halikuibuka mara tu baada ya waziri kukabidhiwa ofisi,,,,? Kwa nn liibuke Leo,,,,?
2 Waziri mwenye dhamana alitolee maelezo wakati ni jambo ambalo lilifanyika kabla ya utawala wake.,?
Haya Waite Kinana na Nyalandu waje wajitete
Ufisadi na ccm,mtoto na titi.....
Kwani Majaliwa nae alikuwa ameshateuliwa?siku hiizi kila jipu watu wanasema hawakuwepo.Baadhi ya watu wanamhusisha Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Maghembe Jumanne na kashifa ya upotevu wa faru john, jamani tuache kutuhumu watu bila kuwa na ushahidi,
Waziri Maghembe aliteuliwa mwanzoni mwa mwaka huu 2016, Kashifa ya kupotea faru john aliikuta imeshatokea mwaka Jana na wakati inatokea kashifa hiyo Prof. Maghembe alikuwa waziri wa Maji na Umwagiliaji, Kwa hali kama hiyo Prof. Maghembe anahusikaje ?
Jamani tuwe na akiba ya maneno. Tusilete Chuki binafsi katika Kazi Za Taifa.
![]()
Nionacho ni kuwa PM anamtengenezea Mazingira Mkuu,but ni kama PM ndo kakomalia ila mwenyewe hashtuki.Waziri mk anamuogopa kifutu? maana kila siku ni mizunguko kama pank kama picha lote unalo Tumbua tu kwa ni nani huyo... Mwizi anaogopwa?
Je, wakati kashfa hiyo inatokea, Majaliwa alikuwa Waziri Mkuu? Kama jibu ni hapana, imekuwaje anafahamu tatizo la wizara ambayo kuna mtu asiyejua tatizo la wizara yake? Jibu ni Irresponsibility. Kutowajibika. Usipowajibika OUT!Baadhi ya watu wanamhusisha Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Maghembe Jumanne na kashifa ya upotevu wa faru john, jamani tuache kutuhumu watu bila kuwa na ushahidi,
Waziri Maghembe aliteuliwa mwanzoni mwa mwaka huu 2016, Kashifa ya kupotea faru john aliikuta imeshatokea mwaka Jana na wakati inatokea kashifa hiyo Prof. Maghembe alikuwa waziri wa Maji na Umwagiliaji, Kwa hali kama hiyo Prof. Maghembe anahusikaje ?
Jamani tuwe na akiba ya maneno. Tusilete Chuki binafsi katika Kazi Za Taifa.
![]()
Hivii mumeo ulisema ni huyuuu auu.....[emoji83]Baadhi ya watu wanamhusisha Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Maghembe Jumanne na kashifa ya upotevu wa faru john, jamani tuache kutuhumu watu bila kuwa na ushahidi,
Waziri Maghembe aliteuliwa mwanzoni mwa mwaka huu 2016, Kashifa ya kupotea faru john aliikuta imeshatokea mwaka Jana na wakati inatokea kashifa hiyo Prof. Maghembe alikuwa waziri wa Maji na Umwagiliaji, Kwa hali kama hiyo Prof. Maghembe anahusikaje ?
Jamani tuwe na akiba ya maneno. Tusilete Chuki binafsi katika Kazi Za Taifa.
![]()
Hii wizara ni ngumu sana waziri Maghembe wanataka kumgeuza mbuzi wa kafara.Sitoshangaa operesheni mbalimbali za kukomesha ujangili zilizotekelezwa karibuni zikasababisha kibarua chake kuota nyasi.Kaghasheki yalimkuta pia baada ya kukamata shehena kuwa ya meno ya tembo Mikocheni.