CHADEMA kwanini inatetea kila mtu anayetumbuliwa?

Wanatetea mpaka majambazi, hii siyo kawaida itakuwa wamechanganyikiwa
 
Wewe nilikuwa nakuona ni memba afadhali humu kumbe walewale tu.unaweza kuweka humu tamko la chadema ikitetea kutumbuliwa?au hujui tofauti kama ya msimamo wa chama na maoni au msimamo wa mtu mmoja mmoja,kwa hiyo mm leo nikipinga kutumbuliwa kwa Mramba ni pingo la Chadema?
Wengi humu mnapinga magufuli kutaka watu wasiotoe maoni yao halafu wewe pia unakuwa hutambui maoni huru ya wachadema

Kutumbuliwa kwa Mramba wewe kunakusaidia nini?unaweza kupinga ingezeko la umeme lakini ukapinga kutumbuliwa kwa Mramba kwa sababu yeye na menejiment ilitimiza wajibu wake kama taasisi ikiweka sababu na wengine wakatimiza wajibu wake wa kukataa sababu hizo.full stop!mengine ni porojo tu za kuteka watu kama nyie. Kuna taasisi inaleta proposal lakini IPO inayopitisha maamuzi.sasa huwezi kutegemea uletewe maamuzi unayoyapenda tu,utaletewa na Yale machungu,basi yakatae na kazi ziendelee,sasa hapo baadae ikija kuonekana haya ya kupandisha umeme mtamrudisha Mramba?
Pascal Mayalla
Jiongeze basi kidogo uzungumzie na kitendo cha menejimenti ya Tanesco kulipana bonus out of profit or dividend wakati huohuo shirika linaendeshwa kwa hasara yaani leo 2016 mnalipana Bonus ya mpaka 60M kwa ofisa mmoja halafu hapohapo unatarjia mwaka ujao 2017 uje ku- incar operational costs kwa kuwapandishia consumers tarrif. Hey, only a laggard head of state can tolerate such an hooliganism.
 
Uzuri tumejua rangi yako halisi baada ya kujificha muda mrefu..... ila nashangaa sana wana ccm mliopo humu sasa huwa mbowe akileta msimamo wa chama then wanachama tukifuata na kusupport mnasema ssi mamnyumbu na tunaburuzwa na sijui hakuna uhuru wa maoni,mbowe dikteta n.k. Cha kushangaza mtu akitoa maoni binafsi kma mtanzania mwingine yeyote tu basi mnasema CHADEMA inatetea mafisadi... sasa tufanyeje?? Tusitoe maoni yetu binafsi humu?? Kwanni mseme chama ndio kinatetea?? Imetoa press release au inefanya press conference kutetea waliotumbuliwa?? Na je wanaotetea huwa wanakuja na hoja gani??Kila anayeipinga sera za magu humu ni chadema???
Pliz naomba maoni ya watu binafsi yaheshimiwe na misimamo ya chama iheshimiwe afterall wengi humu wanatumia ID fake so usiwahusishe na chama kabisa.
Umesahau kua hata wana CDM wakiona mtu anatetea mazuri yaliyofanywa na serikali anaitwa CCM?eti unaambiwa nenda kachukue buku 7 yako.tatizo hili mnalo wana chadema,kuitwa nyumbu pia inaweza kua sawa,maana haiwezekani jana mlisema serikali imejaa mafisadi,hawafai,waondolewe mkashangilia,leo wale wale wanasema watumishi wanaonewa,huu ni udikteta,mnashangilia tena?hv huoni huo udhaifu?
 
Una uhakika chadema imelaumu magufuli kutumbua??? Leta press realease au at least ushahidi wa press conference unaoonyesha chadema wameumia na mafisadi kutumbuliwa....... trust me humu ni ngumu kujua mani chadema nani ccm maana tunatumia ID fake and trust me watu wengi wanatumia multiple IDs so wengine unakuta wana ID ya ccm ila wakitaka kumlipua magu wanabadilisha ID ili wawe huru zaidi..... wote hao kina lizaboni,faizafoxy huwa wakiona magu kakosea wanakuja na ID fake wanaanza kumsema sasa ni haki kuwaita chadema???? Haya ni maoni ya watu wenye ID fake ambao chama chao hukijui ila chadema itabaki kuwa ile ya ufipa na kma haikutoa press release ya kutetea mafisadi wanaotumbuliwa then unatoa wapi basis ya shutuma zako????
 
Kwanza naomba nieleweke kwamba napingana na rais Magufuli kwa baadhi ya mambo ya kisera kama Sera yake ya uchumi na kuminya Democrasia......

Lakini najiuliza tu maswali kwanini wapinzani walio wengi wanachukia na kupinga kila kitu anachofanya Rais either kwa kejeri au kumshambulia.......

Mara ya kwanza nilisikia wakimtetea Kitwanga ...

Wakaja kutetea aliyekuwa mkuu wa mkoa shinyanga.......

Wakaja kumtetea aliyekuwa mkurugenzi wa TIC.......

Wakaja kumtetea aliyetimuliwa TRA baada ya kuwa akipika mapato......

Sasa Leo ni watetezi wa mkurugenzi wa Tanesco.......

Hivi Lowassa na chadema mlitaka kwenda ikulu kufanya nini kweli tungesalimika kweli chini ya mwizi Lowassa?........

Kikwete alifanya teuzi kila mwezi na kuondoa wengine kwa kisingizio cha kustaafu lakini kelele sikusikia .....

Mnakumbuka alivyoondolewa aliyekuwa CAG kabla ya Asad?......

Kifupi Lowassa kama angeenda Ikulu wezi nafikiria wangegeuza nchi genge la wezi......

Najiuliza tu kwanini kila anayeondolewa kwenye nafasi yake chadema wanamuonea huruma?.......

Jk alifanya teuzi mpaka wiki moja kabla ya uchaguzi lakini watu bado hawakuona kama alikuwa akitumbua majipu......

Hivi ni lazima tukosoe kila kitu? Rais achapishe kadi ya mwaka mpya tukosoe Mala kadi mbaya haijatengenezwa kitaaramu......

Rais akiandika Twitter kuandika kingereza tukosoe, baada tu deal na mambo ya kisera ambayo yataleta maendeleo sisi tuna deal na vitu vya ajabu ajabu tu.....

Kumbe hata Gambo na Makonda wanashutumiwa kila siku wakitenguliwa watakuja kuwatetea?

Chadema acheni kutetea wezi na watendaji wasiofuata misingi ya utumishi wa Umma.........
It's too low to discuss Bro!
 
Next time andika wa tukio la kwanza mpaka la mwisho na responses za wapinzani.

Kujadili kuwa wapinzani wanapinga kila kitu pasi kutaja hivyo vitu ni kuondoa uhalali wa mada yako kujadilika.

Wengine tu wasomaji hapa,usitufanye kuandika kisichostahili. Kuna ulevi Fulani umeingia Mkuu. Jitafakari na jisahihishe!
 
Hapa tuna tatizo katika siasa zetu na mfumo mzima wa kuendesha nchi.
Serikali haiko tayari kufuata mapendekezo ya upinzani hata kama ni mapendekezo mazuri kiasi gani, nadhani ni hofu kwamba wakifanya hivyo wataonekana wako weak ndo maana wanapata muongozo kutoka upinzani.

Kwa upande mwingine, wapinzani nao wako tayari kupinga kila kinachofanywa na serikali hata kama ni kizuri namna gani basi lazima watakitafutia ubaya kionekane hakina maana katika jamii, ntatoa mfano: katika hii tumbua tumbua, yule jamaa wa magereza analaumiwa kwa ubinafsi na uhujumu vitu vya magereza kwa muda mrefu lakini alipotoka kuna wapinzani walilalama kaonewa yulee, kuna cases nyingi siwezi kutaja zote
Kwa ujumla nadhani siasa zetu bado sana, tuna chuki, ubabe, kutafuta sifa za kijinga ( cheap popularity) hapa sio upinzani sio chama tawala wote walewale tu
Mkulu anaongea kauli za kijinga mbele ya waathirika wa tetemeko watu wanashangilia, chadema wanakosa majibu ya kwanini walimpokea Lowasa ilihali walishatuaminisha kua ni fisadi[emoji23] [emoji23]
 
Kwanza naomba nieleweke kwamba napingana na rais Magufuli kwa baadhi ya mambo ya kisera kama Sera yake ya uchumi na kuminya Democrasia......

Lakini najiuliza tu maswali kwanini wapinzani walio wengi wanachukia na kupinga kila kitu anachofanya Rais either kwa kejeri au kumshambulia.......

Mara ya kwanza nilisikia wakimtetea Kitwanga ...

Wakaja kutetea aliyekuwa mkuu wa mkoa shinyanga.......

Wakaja kumtetea aliyekuwa mkurugenzi wa TIC.......

Wakaja kumtetea aliyetimuliwa TRA baada ya kuwa akipika mapato......

Sasa Leo ni watetezi wa mkurugenzi wa Tanesco.......

Hivi Lowassa na chadema mlitaka kwenda ikulu kufanya nini kweli tungesalimika kweli chini ya mwizi Lowassa?........

Kikwete alifanya teuzi kila mwezi na kuondoa wengine kwa kisingizio cha kustaafu lakini kelele sikusikia .....

Mnakumbuka alivyoondolewa aliyekuwa CAG kabla ya Asad?......

Kifupi Lowassa kama angeenda Ikulu wezi nafikiria wangegeuza nchi genge la wezi......

Najiuliza tu kwanini kila anayeondolewa kwenye nafasi yake chadema wanamuonea huruma?.......

Jk alifanya teuzi mpaka wiki moja kabla ya uchaguzi lakini watu bado hawakuona kama alikuwa akitumbua majipu......

Hivi ni lazima tukosoe kila kitu? Rais achapishe kadi ya mwaka mpya tukosoe Mala kadi mbaya haijatengenezwa kitaaramu......

Rais akiandika Twitter kuandika kingereza tukosoe, baada tu deal na mambo ya kisera ambayo yataleta maendeleo sisi tuna deal na vitu vya ajabu ajabu tu.....

Kumbe hata Gambo na Makonda wanashutumiwa kila siku wakitenguliwa watakuja kuwatetea?

Chadema acheni kutetea wezi na watendaji wasiofuata misingi ya utumishi wa Umma.........
Andiko hili ni miongoni mwa maandiko yako ya ajabu!
 
Una uhakika chadema imelaumu magufuli kutumbua??? Leta press realease au at least ushahidi wa press conference unaoonyesha chadema wameumia na mafisadi kutumbuliwa....... trust me humu ni ngumu kujua mani chadema nani ccm maana tunatumia ID fake and trust me watu wengi wanatumia multiple IDs so wengine unakuta wana ID ya ccm ila wakitaka kumlipua magu wanabadilisha ID ili wawe huru zaidi..... wote hao kina lizaboni,faizafoxy huwa wakiona magu kakosea wanakuja na ID fake wanaanza kumsema sasa ni haki kuwaita chadema???? Haya ni maoni ya watu wenye ID fake ambao chama chao hukijui ila chadema itabaki kuwa ile ya ufipa na kma haikutoa press release ya kutetea mafisadi wanaotumbuliwa then unatoa wapi basis ya shutuma zako????
Wewe umejuaje watu wanabadili ID then wanakuja kumponda rais?we ni MUNGU mpaka ujue hao kina faizafox siku fulani walibadilisha ID na kuja hapa kivingine?yaani wewe ndo unajua watu vzr siyo?
 
Sawa waweza kubisha ila huo ndo ukweli so waweza uchukua au kuuacha hulazimishwi.

Vilevile wewe unayebisha nipe hoja inayoprove kuwa wanaomkosoa magufuli ni chadema tu? We unajua wana ccm wangapi wana fake ID humu na ambao maslahi yao yameguswa na magufuli na hao pia humkosoa magufuli sasa iweje useme ni chadema?? Kwa ushahidi upi???
We unafkiri kweli faizafoxy hajawahi kuja na uzi wa kupinga udini wa magufuli??? Je ulifkiri atakuja na ID original wakati wote wanajua alivyo ccm kindakindaki?? Hyo ni reasoning ndogo tu nakupa ila we jua multiple IDs ndo zinasaidia watu kukosoa kotekote ilimradi ID anayotumia isionekane imebadili msimamo.
Back to topic..... naomba maoni ya watu humu yasichukuliwe kma maoni ya chama chochote cha siasa maana hakuna anayejua chama original cha mtu sasa wwe unang'ang'ania CHADEMA inatetea mafisadi huku husemi ni lini tumaini makene alitoa press realease inayowatetea au press conference ya viongoz wa chama iliyowatetea mafisadi ila nashangaa eti ushahidi wako ni FAKE ID za jamii forums??? Really?? R u serious???
 
Inatetea sheria,kanuni zifuatwe,Kigamboni unauliza wananchi nitumbie nisitumbue..?

Kweli,sheria kwa gharaama kubwa zimetungwa za nini?
 
Hapa tuna tatizo katika siasa zetu na mfumo mzima wa kuendesha nchi.
Serikali haiko tayari kufuata mapendekezo ya upinzani hata kama ni mapendekezo mazuri kiasi gani, nadhani ni hofu kwamba wakifanya hivyo wataonekana wako weak ndo maana wanapata muongozo kutoka upinzani.

Kwa upande mwingine, wapinzani nao wako tayari kupinga kila kinachofanywa na serikali hata kama ni kizuri namna gani basi lazima watakitafutia ubaya kionekane hakina maana katika jamii, ntatoa mfano: katika hii tumbua tumbua, yule jamaa wa magereza analaumiwa kwa ubinafsi na uhujumu vitu vya magereza kwa muda mrefu lakini alipotoka kuna wapinzani walilalama kaonewa yulee, kuna cases nyingi siwezi kutaja zote
Kwa ujumla nadhani siasa zetu bado sana, tuna chuki, ubabe, kutafuta sifa za kijinga ( cheap popularity) hapa sio upinzani sio chama tawala wote walewale tu
Mkulu anaongea kauli za kijinga mbele ya waathirika wa tetemeko watu wanashangilia, chadema wanakosa majibu ya kwanini walimpokea Lowasa ilihali walishatuaminisha kua ni fisadi[emoji23] [emoji23]
Aseeee wapinzani walilamika kuwa huyo fisadi wa magereza kaonewa??? Press realease iko wapi au kauli ya chama chochote cha upinzani kuhusu huyo magereza unaweza ileta hapa ?? Kwanni misimamo ya mtu binafsi hmu JF mnaifanya misimamo ya chama??? Mna uhakika watu wanaotumia fake ID humu ni wapinzani?? Duh kazi kwelkweli

Afu wapinzani huwa hawapingi kilakitu ila wanakosoa baadhi ya mambo sasa kweli kuna mpinzani gani atapinga nidhamu ya watumishi ya umma irudishwe?? Nani atapinga wauza meno ya tembo wakikamatwa?? Nani atapinga viwanda kujengwa??? Hii hoja yenu ni irrelevant kila theory haikosi hukosoaji so mtu anaweza kubaliana na kitu lakini kwenye hicho kitu lazima ataona cha kukosoa tu coz hamna kilicho perfect hapa duniani na wakifanya hivo tunategemea serikali ichukue hatua ili next time wafanye jambo hilo kiubora zaidi na ndio kazi ya upinzani hatupo hapa kusifia unnecessarily ila tupo kuikumbusha pale serikali inapotaka kutoka nje ya reli sasa kma watu mnachukulia hilo ni kupinga kila kitu then its all well and good muendelee na kuaminishana kisichokuepo.
 
HAWANA LA KUFANYA. ..ALAFU WAO WANAJIITA WAPINZANI HIVYO LAZIMA WAPINGE KILA KITU. ...
Nyote ni wale wale, wanapo pinga kila kitu hata chenye tija, nyie mnatetea kila kitu hata cha kipuuzi.
 
Mpenda haki na mzalendo wa kweli asiyefungwa na nira ya uchama hatakuwa upande wa uonevu hata kwa nusu siku-daima atasema ukweli. Imezuka dhana potofu miongoni mwetu hasa kwa wanazi wa kisiasa kwamba kila anayeishauri serikali njia mbadala, kila anayekosoa hatua fulani ya serikali na kila anayepinga uonevu fulani wa serikali HUYO ATAITWA CHADEMA/UKAWA. Pia ikitokea kinyume chake ATAITWA CCM. Binafsi siamini kila anaye-post au anaye-comment humu jf ambaye simfahamu personally basi nimuone UKAWA au CCM kwa minajili hiyo hapo juu. Mfano, utenguzi wa Eng. Mramba na Dk Mwele sikubaliani nao in the sense kwamba hawana kosa la kustahili kuondolewa tena kwa kejeli vile. Natambua nafasi kama zile ni za Rais so at anytime na pengine bila sababu anaweza kutoa na kuweka mtu amtakae lakini hakuna sababu ya kumtoa mtu kwa kejeli na dhihaka namna ile. Mbona watu hawakupiga kelele kwa Sefue? Ni kwa vile aliondolewa bila kejeli na dharau.
 
Kwanza naomba nieleweke kwamba napingana na rais Magufuli kwa baadhi ya mambo ya kisera kama Sera yake ya uchumi na kuminya Democrasia......

Lakini najiuliza tu maswali kwanini wapinzani walio wengi wanachukia na kupinga kila kitu anachofanya Rais either kwa kejeri au kumshambulia.......

Mara ya kwanza nilisikia wakimtetea Kitwanga ...

Wakaja kutetea aliyekuwa mkuu wa mkoa shinyanga.......

Wakaja kumtetea aliyekuwa mkurugenzi wa TIC.......

Wakaja kumtetea aliyetimuliwa TRA baada ya kuwa akipika mapato......

Sasa Leo ni watetezi wa mkurugenzi wa Tanesco.......

Hivi Lowassa na chadema mlitaka kwenda ikulu kufanya nini kweli tungesalimika kweli chini ya mwizi Lowassa?........

Kikwete alifanya teuzi kila mwezi na kuondoa wengine kwa kisingizio cha kustaafu lakini kelele sikusikia .....

Mnakumbuka alivyoondolewa aliyekuwa CAG kabla ya Asad?......

Kifupi Lowassa kama angeenda Ikulu wezi nafikiria wangegeuza nchi genge la wezi......

Najiuliza tu kwanini kila anayeondolewa kwenye nafasi yake chadema wanamuonea huruma?.......

Jk alifanya teuzi mpaka wiki moja kabla ya uchaguzi lakini watu bado hawakuona kama alikuwa akitumbua majipu......

Hivi ni lazima tukosoe kila kitu? Rais achapishe kadi ya mwaka mpya tukosoe Mala kadi mbaya haijatengenezwa kitaaramu......

Rais akiandika Twitter kuandika kingereza tukosoe, baada tu deal na mambo ya kisera ambayo yataleta maendeleo sisi tuna deal na vitu vya ajabu ajabu tu.....

Kumbe hata Gambo na Makonda wanashutumiwa kila siku wakitenguliwa watakuja kuwatetea?

Chadema acheni kutetea wezi na watendaji wasiofuata misingi ya utumishi wa Umma.........
Uliposema unapingana na Rais kwa baadhi ya mambo kama sera ya uchumi na kuminya demokrasia. Mengi yanayotetewa ni zao la dosari ulizozitaja hapo mwanzo. Mfano; mtu kaondolewa bila kufuata sheria za kazi lazima watu wapige kelele... ukweli unaujua ila unajaribu kuuma na kupuliza
 
Aseeee wapinzani walilamika kuwa huyo fisadi wa magereza kaonewa??? Press realease iko wapi au kauli ya chama chochote cha upinzani kuhusu huyo magereza unaweza ileta hapa ?? Kwanni misimamo ya mtu binafsi hmu JF mnaifanya misimamo ya chama??? Mna uhakika watu wanaotumia fake ID humu ni wapinzani?? Duh kazi kwelkweli

Afu wapinzani huwa hawapingi kilakitu ila wanakosoa baadhi ya mambo sasa kweli kuna mpinzani gani atapinga nidhamu ya watumishi ya umma irudishwe?? Nani atapinga wauza meno ya tembo wakikamatwa?? Nani atapinga viwanda kujengwa??? Hii hoja yenu ni irrelevant kila theory haikosi hukosoaji so mtu anaweza kubaliana na kitu lakini kwenye hicho kitu lazima ataona cha kukosoa tu coz hamna kilicho perfect hapa duniani na wakifanya hivo tunategemea serikali ichukue hatua ili next time wafanye jambo hilo kiubora zaidi na ndio kazi ya upinzani hatupo hapa kusifia unnecessarily ila tupo kuikumbusha pale serikali inapotaka kutoka nje ya reli sasa kma watu mnachukulia hilo ni kupinga kila kitu then its all well and good muendelee na kuaminishana kisichokuepo.
Hata comment yako iko kichama pia
 
Hawa watu hawana jipya. Hawaeleweki ni nini wanachosimamia.
Mtu akipita upande wa kulia wanalalama, kwa nini amepita kulia.
Akipita kushoto wanalalama, kwa nini amepita kushoto.
Hawa siyo watu wa kawaida. Kwao mtu FISADI ni yule aliye upande mwingine, akienda kwao, huyo si FISADI tena.
Je, kwa mtu mwenye akili timamu utasema hawa nao ni watu?
MIMI NAOMBA MHESHIMIWA RAIS MAGUFULI SIKU MOJA AWADANGANYE KWA KUWAAMBIA ANAOMBA KUHAMIA KWENYE CHAMA CHAO. NAJUA SIKU HIYO HAYA YOTE WANAYOMLAUMU WATAYAFUTA KWA KASI NA MBINU ZA AJABU. AKISHAONA WAMEYAFUTA HAYO, ANARUDI TENA KULE KULE NYUMBANI KWAKE ILI KUWAAIBISHA.
 
Hata comment yako iko kichama pia
Ni kweli mimi ni mwanamageuzi ila siegemei chama kimoja maana ukisema nipo kichama ni chama gani hicho??? Mie huwa nasupport wanamageuzi popote walipo wawe chadema,ACT,CCM,CUF,NCCR na najitahidi niwe objective sio kishabiki.

Ila nachotaka kusema ni kuwa humu JF wengi tunatumia ID feki so unakuta ni ngumu kujua chama alicho mtu sasa iweje huyo nliemquote adai CHADEMA INATETEA WANAOTUMBULIWA....... trust me critics wengi wa magufuli ni ccm kuliko upinzani maana wao ndio hawakutegemea angegusa baadhi ya sahani zao za ulaji maana wengi matender ya kijanja janja sahvi yamebanwa so unakuta hasira zao wanamilizia humu kwa kumciriticise magufuli then mtu anakuja hapa anasema eti wale ni CHADEMA?? do u think its fair wakati chama hakijawahi toa press release kutetea mtu aliyetumbuliwa..
 
Back
Top Bottom