Ni heri niapishwe kuwa Rais kipindi hiki.(take note).

NAPASHWA KUAPISHWA KUWA RAIS.

Kitendo cha System Ku organize nchi nzima kila mwaka kunifanyia unyama na udhalilishaji huku wakitumia Mawazo yangu na kujifanya kama hawanijui. Pia kuandaa watu mbalimbali wa kuniigiza kila jambo. Hii ni ishara tosha kuwa " Mimi ndio Mkombozi wa Taifa kwa kila kitu" Japo mnatishia eti nikiinuka mtanikata mapanga kama Alfonsi. Mimi sio fala.

Ni kheri Katiba ikabadilishwa ili niingie Magogoni nifanye kazi ya Ukweli.

Na ndio maana mnaniharibia kila jambo nalofanya kisa wivu. Niapisheni muone kazi na sio maigizo yenu.

Deogratius Kiaandu.
Wewe ni zaidi ya Donald trump
 
Mkuu umeanza kuhubiri?
 
Maumivu ya kichwa huanza poleeee poleeee.....
 
[emoji46] [emoji46] [emoji46] [emoji46]
Jamani imebidi leo nimfikirie mara mbili mbili Kisandu. Huenda anamaanisha anachokisema lakini anakisema kwa kundi lisilo sahihi ndo maana haeleweki na kuonekana kichaa. Na huenda hana wa kumsikiliza hivyo anaona hapa ndo pakusemea yanayomsumbua. Hebu tuache kuwa wepesi wa kujibu ila tunyamaze na kufikiria upande wa pili

Mambo mawili yanahitajika
1: Inahitajika background yake
2:Inahitajika IQ test

(Mwenye hekima hapuuzi aongeacho kichaa)
 
Ulianza ITV wakulipe trillion 5

Ukaja na ngonjera nyingi

Leo umekuja na hiki kituko

Aisee NACHELEA KUSEMA , UNA MATATIZO YA AKILI SIO MUDA UTAANZA KUOKOTA MAKOPO..

Sijui ni njaa inakusumbua ..
 
NAPASHWA KUAPISHWA KUWA RAIS.

Kitendo cha System Ku organize nchi nzima kila mwaka kunifanyia unyama na udhalilishaji huku wakitumia Mawazo yangu na kujifanya kama hawanijui. Pia kuandaa watu mbalimbali wa kuniigiza kila jambo. Hii ni ishara tosha kuwa " Mimi ndio Mkombozi wa Taifa kwa kila kitu" Japo mnatishia eti nikiinuka mtanikata mapanga kama Alfonsi. Mimi sio fala.

Ni kheri Katiba ikabadilishwa ili niingie Magogoni nifanye kazi ya Ukweli.

Na ndio maana mnaniharibia kila jambo nalofanya kisa wivu. Niapisheni muone kazi na sio maigizo yenu.

Deogratius Kiaandu.
Jaman tunaomba Dalili za Ugonjwa wa ZIKA na tiba yake pia
 
Watakuja watu humu nakuanza kuzisingizia bangi.... Kumbe Dishi limeyumba tu.
 
Huna tofauti na Nietzsche na yule mwendazimu Fyodor Dostoevsky!
You are urgently in need of a whole mental overhaul!
Mfungeni kamba!
 
Rev ulianza na madai ya trillion... Ukaja kwenye bikira... Mara PHD sasa unautaka urais ili uende. Ikulu ubadilishe katiba uwe mfalme ufanye kama king Mswati.... A Big NO Rev...
bikira ya nani?yake?
Huyu bro kila siku hali yake inazidi kuwa mbaya Mara bikira Mara uume mdogo Mara TRION 5 za ITV .....hivi umeoa kaka?!
ana bikira?
 
Ikulu ya ukoo ama ipi unatuchanganya...! Itakuwa ikulu ya gamboshi labda!
 
Huu sijui ni ugonjwa gani?
Wataalam wa magonjwa ya akili na wanasaikolojia mtusaidie!

Au ndio Zika?
Yawezekana si ugonjwa bali ni hali ya kisaikolojia ambayo huanza utotoni japokuwa naweza nisiwe SAHIHI lakini naona ni kama ana shida ya ADHD (Attention Defecit Hyperactivity Disorder)
Hali hii humfanya mtu :
Taking RISKS/Kudhubutu mahali wengine WANAOGOPA.
Mara nyingi watu wa aina hii wana DRIVE/Mwendesho mkuu wa KUFANYA JAMBO,
Hawatulii/Restlesness!
Wanaongea mengi sana na HUJARIBU kufanya kazi MILLIONI (NYINGI) Hutaka AZIMALIZE zote kwa MUDA MFUPI na APATE MATOKEO HARAKA.
Tunaweza kuuita ni ugonjwa lakini katika lugha ya ki DIPLOMASIA tuiite tu kuwa ni CONDITION /Yaani HALI TU ya mtu ki AKILI!
 
NAPASHWA KUAPISHWA KUWA RAIS.

Kitendo cha System Ku organize nchi nzima kila mwaka kunifanyia unyama na udhalilishaji huku wakitumia Mawazo yangu na kujifanya kama hawanijui. Pia kuandaa watu mbalimbali wa kuniigiza kila jambo. Hii ni ishara tosha kuwa " Mimi ndio Mkombozi wa Taifa kwa kila kitu" Japo mnatishia eti nikiinuka mtanikata mapanga kama Alfonsi. Mimi sio fala.

Ni kheri Katiba ikabadilishwa ili niingie Magogoni nifanye kazi ya Ukweli.

Na ndio maana mnaniharibia kila jambo nalofanya kisa wivu. Niapisheni muone kazi na sio maigizo yenu.

Deogratius Kiaandu.

Wana JF kuna haja ya muhimu na Haraka sana kuwa na kitengo maalumu cha kusaidiana kwa wana member wote wanaokuwa na matatizo yanayohitaji msaada wa haraka, akyaMungu tutakuja kujuta kwamba tulimuona ana haribika polepole na tukakaa kimya, HUYU JAMAA ANAHITAJI MSAADA WA KIMATIBABU, KIROHO NA PIA WA KISAIKOLOJIA
tusipuuze ikiwa ni pamoja na kumcheka na kumdhiaki

Cc: Maxence Melo , Mod , Mod 1
 
Back
Top Bottom