Utaangalia huku roho ikikuuma!Anachambua uchumi kwa kutia novel na Tigris?...keshakufa kisiasa,atahama mpaka achanganyikiwe...wanakigoma hawatasahau dharau yake kwa mawese.
Nina wasiwasi kweliSijui kama Mada haitasitishwa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu!
Pugu boyNina wasiwasi kweli
You need to grow upSasa sisi inatuhusu nini kutuletea habari za huyu jamaaaa alietoka ukawa na kuhamia ukawa? Hata tukikiu uliza wewe sisi inatuhusu nini kutuletea hizo ngonjera na wakati tayari tunaye kiboko ya mafisadi na walarushwa na wapiga madili ambae NI MAGUFULI?? Hata upinzani wafanye maajabu gani, tulisha amua Magufuli anatoshaa
Hivi wewe jamaa ni mzima kweli?Anachambua uchumi kwa kutia novel na Tigris?...keshakufa kisiasa,atahama mpaka achanganyikiwe...wanakigoma hawatasahau dharau yake kwa mawese.
Nakuuuliza tena, sisi inatuhusu nini hata tukiku uliza weweeYou need to grow up
Sasa sisi inatuhusu nini kutuletea habari za huyu jamaaaa alietoka ukawa na kuhamia ukawa? Hata tukikiu uliza wewe sisi inatuhusu nini kutuletea hizo ngonjera na wakati tayari tunaye kiboko ya mafisadi na walarushwa na wapiga madili ambae NI MAGUFULI?? Hata upinzani wafanye maajabu gani, tulisha amua Magufuli anatoshaa
Lumumba washaanza kuchanganyikiwa..wanahofu kafulila atawavua nguo...
Lini MTU ambaye kasoma BBA akachambua uchumi. Ameujulia wapi. BBA yenyewe kaunga unga ya jioni. Labda angekuwa lipumba hapo sawa. Kafulila amekalilishwa tu economic growth na economic development tegemeeni kusikua hayo tu.
Usikose Leo Saa 4:00 Usiku "Mwelekeo wa Uchumi Tanzania"Mhe.Kafulila atakuwa akiuchambua uchumi toka JPM akabidhiwe nchi.
Mnakumbuka Kilichompata Kafulila kule Clouds?Ngoja tuone kama watamgwaya tena.