elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,743
Unatafuta matatizo... ni kosa
Kubwa nashangaa unatangaza pia
Kubwa nashangaa unatangaza pia
Kila anayejua maana ya gar humu anajua either we we no mshamba wa magar au Kuna unachotafuta. Muuza gar akuambie we we mteja uje na kadi ili akuuzie gar???? Ukielezwa ukweli unajidai mjuaji??? Hakuna namna nyingine hiyo gar inaweza kuwa imepatikana zaidi ya kuwa imeibwa mahala.Dili ya wizi imetokea wapi? Au unafkr kila mtu ni mpiga dili humu? Kama huna msaada kwa nn usikae kimya tu?
U r right brother.... Hapo nakuelewa.Kila anayejua maana ya gar humu anajua either we we no mshamba wa magar au Kuna unachotafuta. Muuza gar akuambie we we mteja uje na kadi ili akuuzie gar???? Ukielezwa ukweli unajidai mjuaji??? Hakuna namna nyingine hiyo gar inaweza kuwa imepatikana zaidi ya kuwa imeibwa mahala.
Nenda wanapokata bodi kadi utazipata fasta.....ila ukiambiwa kuna mtu anayo kadi humu kuwa makini ukute hata mtu wa TRA au polisiNatafuta kadi ya gari BMW X5 kwa mtu ambaye gari ilipata ajali (haitengenezeki). Katika pitapita yangu nimekuta yard flani kuna gari BMW X5 inauzwa bei ya kutupwa ila haina kadi wala document yoyote. Muuzaji katoa sharti kuwa ili aiuze lazima uende na kadi ya Gari husika.
Msaada tafafhali.
Ni gari nzuri sana hata ukiona hutapenda kuiacha.
Napokea na ushauri pia.
Achana na hiyo biashara ya kizamani mkuu,utajikuta unadaiwa na TRA milioni 70,kwa gari ulionunua kwa milioni 5Natafuta kadi ya gari BMW X5 kwa mtu ambaye gari ilipata ajali (haitengenezeki). Katika pitapita yangu nimekuta yard flani kuna gari BMW X5 inauzwa bei ya kutupwa ila haina kadi wala document yoyote. Muuzaji katoa sharti kuwa ili aiuze lazima uende na kadi ya Gari husika.
Msaada tafafhali.
Ni gari nzuri sana hata ukiona hutapenda kuiacha.
Napokea na ushauri pia.
Duh, yaani uchukue card ya gari nyingine uipachike kwenye gari nyingine.Mbona ni kitu kisichowezekana.Kwanza namba za magari zinatofautiana, wamiliki ni tofauti.Kweli usilololijua ni usiku wa giza.Na kama hiyo gari ni ya wizi.Mmm,achana na upuuzi huo mkuu. Na huu uzi unafanya ni ni huku?Si unamtafutia shida mwenye garage.Natafuta kadi ya gari BMW X5 kwa mtu ambaye gari ilipata ajali (haitengenezeki). Katika pitapita yangu nimekuta yard flani kuna gari BMW X5 inauzwa bei ya kutupwa ila haina kadi wala document yoyote. Muuzaji katoa sharti kuwa ili aiuze lazima uende na kadi ya Gari husika.
Msaada tafafhali.
Ni gari nzuri sana hata ukiona hutapenda kuiacha.
Napokea na ushauri pia.
Dah! wewe ushauri unaokufaa ni ushauri wa ki-darasa.Of course not. Ninachotaka ni kadi tu
Naona mnataka 'KUIBATIZA' hio X5.Natafuta kadi ya gari BMW X5 kwa mtu ambaye gari ilipata ajali (haitengenezeki). Katika pitapita yangu nimekuta yard flani kuna gari BMW X5 inauzwa bei ya kutupwa ila haina kadi wala document yoyote. Muuzaji katoa sharti kuwa ili aiuze lazima uende na kadi ya Gari husika.
Msaada tafafhali.
Ni gari nzuri sana hata ukiona hutapenda kuiacha.
Napokea na ushauri pia.