Recent content by mgaganaikoko

  1. mgaganaikoko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninatamani sana niwe naye lakini tayari ana mpenzi wake

    Duuuuuh.,,, yaani nyie mabinti wasiku hizi ni pasua kichwa kabisa ...sasa ww endelea kuuendekeza moyo
  2. mgaganaikoko

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Aseee punyeto au kwakileo tunaita kujiongeza sometimes ikikolea utamu wake ni zaid ya kyuma..Halafu mie ni mwaka wa ishirini huu bado najiongeza we piga tu mkuu haina noma hiyo
  3. mgaganaikoko

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam leading among 11 Fastest Growing Cities in Africa

    Duuuuuh....mbona Dodoma haipo
  4. mgaganaikoko

    JamiiForums Tanzania Tanzania tununue mabasi ya majini kupunguza tatizo la usafiri Dar

    Hayana maana yeyote kwa sasa
  5. mgaganaikoko

    JamiiForums Tanzania TANROADS wekeni taa za barabarani Morogoro

    Kwa namna kamoro kalivyo zitasababisha foleni tu
  6. mgaganaikoko

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari kabla ya kulizwa

    Mkuu nafikiria nawewe umeshalizwa
  7. mgaganaikoko

    JamiiForums Tanzania Usingizi maana yake nini? Kwanini viumbe hai husinzia?

    Somo zuri sana asante sana mkuu
  8. mgaganaikoko

    JamiiForums Tanzania K/koo: Kipande cha Sabuni badala ya simu

    Mimi nakumbuka nilipigwa hadi nikajiona fala maana nilikutana na hao wajanja mitaa ya msimbazi wana bonge moja la simu nikawapa 20000 then wakanambia tumeipiga hapa hapa....Basi mie fasta nikawahi kwenye daladala ,,, sasa nifungue tule tubahasha nakuta soap ikabidi nipunguze presha ili...
  9. mgaganaikoko

    JamiiForums Tanzania K/koo: Kipande cha Sabuni badala ya simu

    Hii yako imenichekesha sana Mkuu
  10. mgaganaikoko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Make ur fifa 14 even better

    Sikudownload mkuu nilichukua kwa mtu
  11. mgaganaikoko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Best PC games

    Mkuu nimezitafuta sana lakini nimeshindwa kuzipata
  12. mgaganaikoko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Make ur fifa 14 even better

    Nimeangalia kote sijakuta hizo instructions mkuu
Back
Top Bottom