Ashura9
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 740
- 485
Siku hizi kuna mabasi yanayopita baharini, ndani ya mito na maziwa. Hivyo kuna haja ya serikali au wawekezaji wazawa au wageni kuwekeza kwenye mabasi ya majini (Amphi- bus) kama yanavyoonekana hapa chini, ili tutumie bahari, na mito yetu kwa usafiri ili kupunguza msongamano barabarani. Na pia kama njia nzuri ya kuingiza kipato
Kuna watu hawaamini kuwa haya ni mabasi ya majini, wanadhani hii ni photoshop!! hebu angalia video hapa chini:
Kuna watu hawaamini kuwa haya ni mabasi ya majini, wanadhani hii ni photoshop!! hebu angalia video hapa chini: