storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,544
- 1,873
Nilichowagundua hawa jamaa wanacheza na saikolojia yako, anapokwambia kaiba mtaa wa pili, hivyo mfanye haraka msije shikwa, pale ndo anapokupigia kwakua utapata wasiwasi na kushindwa kufocus, unakua unajishauri uchkue ama lah, ndo kosa linapotokea maana utamrudishia, lkn yeye ataendelea kukushawishi, na ikiwezekana anakushushia bei, unafanya maamuzi, unapokea bahasha na kutoa pesa, ukifika mbele unaisoma namba.
Kiukweli ishanitokea na ni mwaka jana, nilipoteza simu yangu, nikapita kkoo nikiwa na mambo mengine kabisa, jamaa alipotokea nikaona kama oportunity kupata cm nzur kwa bei chee, na nilikua makini sana kwa kuwa mchezo naujua, nikaikagua sim fresh nn, tatizo likawa kwenye kujiuliza nichkue ama lah, pale nikamrudishia, kudadadek.... pale pale jamaa akafanya yake.
Ktk muda huo huo nshamkabiz jamaa 20 yake, nikageuka na kuikagua....... lahaulaaaaaaa, kipande cha sabuni kimechongwa mithili ya huawei..... dah! nageuka kumuangalia jamaa, kapotea sa mingi sana....
Nlijicheka sanaaaaaaa, ila ile soap nlikaa nayo kàma sku2 iv ndo nkaitupa