Chukua tahadhari kabla ya kulizwa

Hulbjd

Member
Jan 30, 2012
36
2
Kuna mchezo umeanzizwa kwenye mtandao wa kuuza na kununua vitu huu mtandao ni maarufu sana. Juzi ametoka kulizwa mtu na hao matapeli wanatumia namba ambayo haionyeshi jina na inapiga kazi hadi sasa.. Nawashauri watu wanaotumia mitandao kuuza vitu vyao wawe makini sana na hao watu kwani wanajikusanya kikundi kisha wakati wa wewe kuja kukutana nao kuna wa kukuchukua hadi sehemu wanapojua wao kisha mnaafikiana mnachokifanya ila kama ukileta ubishi waweza kula mkongoto au kuwaachia mali uliyonayo au kukupa kiasi mnachoafikiana kisha unafatiliwa kabla hujaondoka eneo la tukio...
 
Back
Top Bottom