Recent content by Mfwatiliaji

 1. M

  Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

  Mchumba wake anayefanya kazi UN Sudan.Naye kajiua pia .. Source Radio one.
 2. M

  Rais Kikwete, mbegu uliyoipanda italitafuna taifa letu...

  Kuna kila dalili sasa nchi inaelekea kwenye machafuko!!
 3. M

  Msaada wa sound clip ya Ester Wasira.

  nahitaji pia
 4. M

  Masasi wasimamisha zoezi la sensa tangu jana

  siku ya tano bado hatujahesabiwa kwenye kamtaa ketu!!
 5. M

  Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

  Maajabu na kweli..hukumu ya kesi kubwa kama hii haijasomwa mpaka saa hizi??
 6. M

  Mkutano wa madaktari- agenda za kujadili

  Kila la heri Madaktari wetu..umoja ni nguvu. Imebaki kumalizia kuchuna mkia tu
 7. M

  At least 118 killed as Bhoja Air Boeing carrying 127 crashes in Pakistan

  Umenikumbusha mwanadada mmoja wa ABBA group aliyekuwa mwoga sana kupanda ndege..nadhani overseas trip zao zote alikuwa anatumia meli au ungo!!
 8. M

  Yu wapi Sitta?

  afadhali mmeichomoa faster ile thread, yule jamaa aliyeanzisha kama breaking news ale ban
 9. M

  Bungeni kwawaka moto, ripoti za kamati zaibua mjadala mkali!

  Mkuu dudus, unamaanisha wana Igunga wameuziwa mbuzi kwenye gunia?
 10. M

  Bungeni kwawaka moto, ripoti za kamati zaibua mjadala mkali!

  kweli hii ni banana republic!!.. in modern times, hakuna mfano wake..
 11. M

  Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

  Mkuu, umesababisha nicheke! ni bahati naye Invisible yumo humu. Lakini "huyo mtu" ukweli huwa anakera sana!! yaani hii ndiyo priority sasa!
 12. M

  Lissu kufunga ushahidi mchana huu-maendeleo ya kesi tangu jana.

  sina taaluma ya sheria..lakini naweza kusema leo nimeenda darasa la sheria.. Kila la heri TL. Mkuu Isango, usichoke kutujuza yanayojiri hapo mahakamani!
 13. M

  Tahadhari ya Tsunami kanda ya pwani Afrika Mashariki...

  Ni kweli tetemeko kubwa (8.6 magnitude) limetokea kwenye ufukwe wa Indonesia. Bahari ya Hindi imetikisika na kupelekea uwezekano wa tsunami kusambaa hadi hapa kwetu. Bahati nzuri maji yamesambaa laterally (mwelekeo wa kulia na kushoto au kaskazini na kusini) lakini siyo kwenda mbele (mashariki...
Top