Yu wapi Sitta?

Mzee Sitta yupo Nairobi kikazi[/QUOTE

Mkuu Invisible, sifurahii mtu kupewa ban lakini member alieleta uzushi wa Mh Sita kujiuzulu ubunge anastahili ban, labda iwe confirmed!

naunga mkono hoja. Huyu jamaa aliyezusha, afungiwe maisha kabisa. kawadanganya watanzania. niliamua kuwatafuta SIBUKA, kwa bahati mbaya namba za simu walizoweka, ni za mafundi sio za studio. hivyo nilivyopiga sikupata chochote. namba ya fx nimepiga hikupokelewa, sina elimu kama fax unaweza kuitumia kupiga. namba hiyo ni
con_fax.png
+255 22 2772847.

afutwe JF
 
Sitta hasipo sign ina maana ana chuki binafsi na Lowassa si kwamba anachukia ufisadi. Huu ni mtihani mkubwa sana kwake kwani kama waziri hawezi kupinga serikali yake. The only way ni kujivua gamba
 
:A S 41: Sita ni mpambanaji sana pamoja na Sita "B" ila ni mtu wa mahesbau sana...... amesurvive imagine awamu nne za viranja wakuu.
 
Kaka naona mmeitoa ile thread ya ''kizushi''........JF integrity first!

Ila mbona mmenitolea u-expert katika membership without any because?lol

mkuu SAFARI NI SAWARI na mimi nimenyang'anywa U_ expert ndugu yangu na hii nadhani ni sie 2liomkosoa Le mutuz? Ama tatizo ni cdm.NATAKA Nijivue humu niende Mjengwa maana hata thrid zangu KTK ID HII HAZIKAI.
 
KIMYA KINGI KINA MSHINDO MKUU.

Yu wapi mzee wa viwango? kwa nini hajasaini?
 
Back
Top Bottom