Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

Msigwa anasema kupambana na magamba sikazi rahisi. Wengine watafungwa, wengine watapoteza kazi lakini tutashinda. Anawaasa wanadodoma wasiwatie aibu kama Dar.
 
Msigwa;tuko kwenye mapambana.tutapgn wengi na wasaliti watatoka weng.watkfa wng, wabunge wng wtkosa ubunge,wanfunz wng wtfkzw mwshoni 2tashinda
 
anasema watu wasiogope kupoteza kazi,anahamasisha watu wasaidie kuiondoa ccm
 
Grace Kiwelu yupo jukwaani, anaomba wanadodoma waungane na chama cha maskini, waachane na chama za zamani waige watu wa Arumeru.
 
Watu wa Dodoma tunashukuru kwa updates, hakuna hata mmoja wenu mwenye kamera aweke picha??

Pleaseeeeeeeeeeeee!!
 
Komu anaöngea kwa niaba ya makurugenzi then viongozi wakuu wataanza kupanda. Huyu anagombea ubunge wa A. Mashariki. Anatoa sababu za kuvunjika kwa e.a kuwa ni sababu ya tofauti ya uchumi.
 
ni kweli kabisa...ni kazi tu ndio inawafanya waishi ivo...hata cdm ikishika dola wataendelea kufatilia mikutano ya wapinzani ccm kama kawaida na kama wanavyofanya hapo jamuhuri...pipooooozzz!!!
 
Komu anasema watz walioko vyuoni hawafiki lakimoja but kesho wapo laki3 na 40. Hiyo yote ni kwa sababu ya sera mbovu za Ccm.
 
ccm kwishaaaaaaaaaaaaaaaaa
pipooooooooooooooooooooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom