zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Serikali imetangaza kupitia TBC,Wakazi waishio pembezoni mwa Bahari waondoke tsunami inakuja.
Swali-Ikulu nayo watahama au ni wakazi tu.
Swali-Ikulu nayo watahama au ni wakazi tu.
Serikali imetangaza kupitia TBC,Wakazi waishio pembezoni mwa Bahari waondoke tsunami inakuja.
Swali-Ikulu nayo watahama au ni wakazi tu.
Mi niko Mlandizi nasikilizia kwanza. Niliondoka Dar nilipopata taarifa mtandaoni majira ya saa sita.
Serikali imetangaza kupitia TBC,Wakazi waishio pembezoni mwa Bahari waondoke tsunami inakuja.
Swali-Ikulu nayo watahama au ni wakazi tu.
Hivi hali ya hewa walikuwa wapi?? utabiri wao wa jana ulikuwa feki kwani hawakutoa taathimini ya Tsunami
kwasababu taarifa zinatolewa juu-juu..kama tsunami watu wakigamboni mbona wanaruhusiwa kuvuka?ndio tatizo letu, kuchukulia vitu juu-juu.... and then badae tunaanza kuilaumu serikali :yell:
Thank God! I have been glued on the internet since the news came in. But, I wonder why TBC1 still insists that the Tsunami waves are on the way to hit our Coastline (TBC1 Habari Mpasuko-Breaking news at 6:25pm today). Aren't they peruse the reports from the reliable sources? Even BBC has just reported that "Indian Ocean tsunami alert lifted after Aceh quake". TBC1 please WAKE UP!!