Recent content by Mfilisuti

  1. Mfilisuti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mi bahili mpaka najishangaa mwenyewe

    Ngoja waje Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
  2. Mfilisuti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa kimapenzi tafadhali

    NAKAZIA Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
  3. Mfilisuti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli mabinti wa Tanzania ni omba omba sana katika mahusiano au wanaume ndio mabahili?

    Ngoja waje Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
  4. Mfilisuti

    JamiiForums Tanzania Nafasi 2 za kazi za stationery

    Wapi huko Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
  5. Mfilisuti

    JamiiForums Tanzania Ili kumaliza migogoro inayoendelea Congo, inabidi malalamiko yote ya waasi yasikilizwe

    Hao waasi wanafadhiliwa na bwana Kagame na Museveni , ili wao waibe mali za Congo . Kutatua huo mgogoro ni ku deal na hao mabwana FULL STOP. Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
  6. Mfilisuti

    JamiiForums Tanzania Tumpe nani maua yake kati ya Steve Mweusi ama Kicheche?

    Steve Mweusi Ana kipaji, Kicheche Ana bahati Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
  7. Mfilisuti

    JamiiForums Tanzania Nilikutana na mwanamke, kwenye uume kumekuwa na hali ya usaa

    Hiyo ni HPV , nenda hospitali upate dawa lkn pia ulipata PEP kwakuzuia maambukizi ya HIV au unasubiri upime baada ya muda [emoji848] Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
  8. Mfilisuti

    JamiiForums Tanzania Shule ya English Medium imegoma kumuhamisha mwanangu. Hatiani kukosa mtihani wa darasa la nne

    Nenda Wilayani ofisi ya elimu watamhamisha chap, lkn pia Prem haiwezi soma darasa la 5 Kama hajafanya mtihani, Prem inamkalilisha darasa. Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
  9. Mfilisuti

    JamiiForums Tanzania Shule ya English Medium imegoma kumuhamisha mwanangu. Hatiani kukosa mtihani wa darasa la nne

    Mtoto asipofanya mtihani. Mfumo wa Prem utamkalilisha darasa, hauwezi kusoma eti darasa la 5. Lkn jaribu kutatua hizo changamoto pia nenda Wilayani ofisi ya elimu watamuhamisha Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
  10. Mfilisuti

    JamiiForums Tanzania Wachezaji 12 wageni kwenye timu ni sumu kwa Taifa stars

    Cameron na Ivory coast hawajatoka ww Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
  11. Mfilisuti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi huyu msanii alinionaje? Saa moja na nusu milioni tano na ushee!

    NAKAZIA Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
  12. Mfilisuti

    JamiiForums Tanzania Kipi kiliwahi kukutokea ukajikuta unaanza kuongea peke yako?

    Faida zipo Sana, mm nmeweza kujifunza lugha ya kijerumani kwa kuongea peke yangu na wajerumani wanashangaa nmejifunzaje Mana Niko fluent Kama vile nmeishi huko Munich. Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
  13. Mfilisuti

    JamiiForums Tanzania Historia ya Osama Bin Laden

    Mwamba Osama Bin Laden alikufa kwa ugonjwa wa Figo kufeli, baada ya Obama kugundua hilo akatengeneza kifo feki kwasabb wakat anatafuta kura aliwahaidi wamarekani kwamba atakuja kumkata Osama. Kwa njia hiyo akatimiza ahadi. Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
  14. Mfilisuti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ungekuwa wewe ungefanayeje?

    NAKAZIA Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
  15. Mfilisuti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mume aliye serious anayetaka mke. Nina miaka 36

    Bila picha huu Uzi "UFUNGWE" Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom