Hivi huyu msanii alinionaje? Saa moja na nusu milioni tano na ushee!

GRAMAA

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,155
3,399
Milioni tano na laki tatu na elfu kumi na mbili kweli!

Kuna msanii mmoja wa kike maarufu sana hapa Tanzania amenishangaza sana. Msanii huyu kwenye bongo movie yupo kwenye mziki yupo ameniacha hoi sana leo.

Kuna jamaa mmoja naye ni maarufu sana na anasifa ya kuongea sana na mbwembwe nyingi alinikutanisha na huyu msanii ili tupige show kwa usiku mmoja.

Movie ilianzia pale yule kuadi alipokuwa anataka milioni mbili ili anikutanishe na huyu msanii wa kike. Tukashuka mpaka elfu hamsini na mbili 52,000/=

Nikaona Ngoja nikaze kibishi,nikampa kuwadi advance kwanza ya 19,000/= huku tukikubariana akifanikisha kumleta huyo msanii nitammalizia hela yake.

Sasa kasheshe ilianza pale huyo msanii alipotoa masharti yake ili niweze kupiga naye show. Masharti yeye ni kama yafuatayo:-

i/ Nimuingizie kwenye akaunti yake ya benki milioni tano na laki tatu na elfu kumi na mbili.

ii/ atakuja amevaa mask ili nisimuone sura.

iii/ Siruhusiwi kuwa na simu tukiwa chumbani.

iv/ Marufuku kuwasha taa tukiwa chumbani.

v/ Chumbani cha kukutania anatafuta yeye mwenyewe maeneo Katavi.

vi/ Atakuwa na mimi kwa muda wa saa moja na nusu tu.

vii/ Marufuku kutoka jasho.

Nikaona mmmmh hii ni ya moto. Nikaamua kumcheki kuwadi wangu na kumpa masharti niliyopewa,jamaa akaniambia nikubari masharti ili nifanikishe dhamira yangu ya kupiga show na huyo msanii.

Tukapanga siku ambayo ni juzi,Mimi na kuwadi wangu tukatangulia mpaka Katavi ili tukakutane na huyo bidada.

Ilipofika saa saba usiku yule bidada akamtuma kuwadi anifuate mpaka kwenye hotel moja, nilipofika kwenye chumba nikakuta kazima taa,kuna bonge la giza. Nikaona mmmh hii balaa. Nikatoka nikasepa zangu.

Daaaah nilishindwa kwakweli.
 
Kwahiyo.......?
 
Mimi miaka kadhaa nyuma kuna kuwadi alini unganishia msaani wa bongo movie kafupi kana macho makubwa na rangi ya kungaa kanatokea Tanga.

Kuwadi akanambia dau lake 2 million usiku mzima nilicheka sana akaniuliza mbona unacheka nikasema mnuka kwapa yule hata laki 1 sitoi.
 
Milioni tano na laki tatu na elfu kumi na mbili kweli!

Kuna msanii mmoja wa kike maarufu sana hapa Tanzania amenishangaza sana. Msanii huyu kwenye bongo movie yupo kwenye mziki yupo ameniacha hoi sana leo.

Kuna jamaa mmoja naye ni maarufu sana na anasifa ya kuongea sana na mbwembwe nyingi alinikutanisha na huyu msanii ili tupige show kwa usiku mmoja.

Movie ilianzia pale yule kuadi alipokuwa anataka milioni mbili ili anikutanishe na huyu msanii wa kike. Tukashuka mpaka elfu hamsini na mbili 52,000/=

Nikaona Ngoja nikaze kibishi,nikampa kuwadi advance kwanza ya 19,000/= huku tukikubariana akifanikisha kumleta huyo msanii nitammalizia hela yake.

Sasa kasheshe ilianza pale huyo msanii alipotoa masharti yake ili niweze kupiga naye show. Masharti yeye ni kama yafuatayo:-

i/ Nimuingizie kwenye akaunti yake ya benki milioni tano na laki tatu na elfu kumi na mbili.

ii/ atakuja amevaa mask ili nisimuone sura.

iii/ Siruhusiwi kuwa na simu tukiwa chumbani.

iv/ Marufuku kuwasha taa tukiwa chumbani.

v/ Chumbani cha kukutania anatafuta yeye mwenyewe maeneo Katavi.

vi/ Atakuwa na mimi kwa muda wa saa moja na nusu tu.

vii/ Marufuku kutoka jasho.

Nikaona mmmmh hii ni ya moto. Nikaamua kumcheki kuwadi wangu na kumpa masharti niliyopewa,jamaa akaniambia nikubari masharti ili nifanikishe dhamira yangu ya kupiga show na huyo msanii.

Tukapanga siku ambayo ni juzi,Mimi na kuwadi wangu tukatangulia mpaka Katavi ili tukakutane na huyo bidada.

Ilipofika saa saba usiku yule bidada akamtuma kuwadi anifuate mpaka kwenye hotel moja, nilipofika kwenye chumba nikakuta kazima taa,kuna bonge la giza. Nikaona mmmh hii balaa. Nikatoka nikasepa zangu.

Daaaah nilishindwa kwakweli.
kwa hiyo ukaliwa milion tano ushei hibi?
Post ya kwanza naisoma Mwaka mpya ina nukia chai ya vitunguu
 
Yani na uswEnge wako unategemea tuamini umeach milioni 5 Laki 3 na elfu 12 mia Moja hamsini kwenye account ya huyo msanii uliyetunga?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom