Nafasi 2 za kazi za stationery

southernboy

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
826
1,017
sifa
  • Mhitimu kidato Cha nne au zaidi
  • Cheti /diploma kuhitimu mafuzo ya computer /secretarial au record management..
  • Uzoefu wa kutosha kwenye office application kama Microsoft word ,Excel,publisher ,graphics editing etc
Internet - Email and online services / application..
- Kuwa na uzoefu au utayari kujifunza kufanya biashara
  • umri kuanzia miaka 18 mpaka 26.
  • muda wa uangalizi kazini kabla ya mkataba utakuwa wiki 2.
  • mawasiliano whatsaap only: +255 755707128
 
msije pm wakuu mimi sio muajiri nimeshare tuu kwa jobles wenzangu,namba hiyo hapo
 
Akipata kazi baada ya uangalizi atalipwaje?

Tunao ndugu wengi wenye sifa shida maelezo mafupi
 
sifa
  • Mhitimu kidato Cha nne au zaidi
  • Cheti /diploma kuhitimu mafuzo ya computer /secretarial au record management..
  • Uzoefu wa kutosha kwenye office application kama Microsoft word ,Excel,publisher ,graphics editing etc
Internet - Email and online services / application..
- Kuwa na uzoefu au utayari kujifunza kufanya biashara
  • umri kuanzia miaka 18 mpaka 26.
  • muda wa uangalizi kazini kabla ya mkataba utakuwa wiki 2.
  • mawasiliano whatsaap only: +255 755707128
Wapi huko

Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom