Je, ungekuwa wewe ungefanayeje?

Je, ungekuwa wewe ungefanayeje?

Ivyo ndo vinaitwa vigezo na masharti ya ndoa acha kuliza ujinga toa ni majukumu yako km muoaji
 
Hujakutana na wife material labda, kwanza moja ya sifa ya mahusiano ya kudumu hua na mikiki sana mpaka muoane utajaribiwa sana mana ata shetani hataki watu mnaopendana kwa dhati muungane! Narudia tena kama umependa kweli utafanya juu chini utazunguka dunia yote umpate huyo mkeo. Yalinikuta haya pia, niliongezewa gharama zisizoeleweka tofauti na mahari ila kwakua mwenzangu ana thamani zaid ya hiyo nilipambana kiume bila msaada wa ndg wala rafiki. Mfano tuseme inatakiwa aongeze milioni 3, thamani ya mama watoto ni ndogo kuliko hyo M3? Kama hana hela si anamshirikisha mwezie wayajenge ata kuchangisha ndugu au kukopa imradi jambo lifanikiwe? Hapa point ni utajitoa kias gan imradi upate mwenza sahihi
Mi ninachokiona hapo ni vitendo vya makusudi kwa kuona jamaa yuko tayari kumuoa binti yao. Kama shetani analeta vikwazo basi anawatumia ndugu na wazazi wa mwanamke. Na pia uhakika wa mahusiano kudumu au binti ni wife material hatuna ukizingatia hali ya kimaadili ya sasa na utaalamu wa wanawake kuigiza kabla ya ndoa. Unadhani Kwa vitendo hivyo kama vile wanamkomoa akishampata binti uhusiano na wazazi wa binti utakuwa vizuri?. Huwezi kukubali uonewe kwasababu umependa, mahari ni sawa ila hiyo sherehe hapana kwakweli mpenzi yanatakiwa kuleta furaha sio stress zingine za madeni.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Sawa Mkuu, ila umeoa? I hope unazijua seke seke za kuoa lakini.. not easy ooh

Lets agree to disagree 🤝
 
Ningeachana na kuoa kwakua akili yangu bado tegemezi inasubiri maamuzi ya watu wa mtandaoni
 
Hivi unataka tukushaur nn?unataka kutukosanisha na unako enda kuoa?Ila ungekuwa ndugu yangu saivi ungekuwa kilema kitu ambacho tungekufanya,we toa hela halafu utaambiwa mila za kwao ni kuendesha misiba yote na harusi zote na kukea wazee,kugharamia pombe za kimila,matambiko kila mwaka haaahaaaaaa umeshikwa wewe pumbavu
 
Acha ukuda, najua vimelea vya kataa ndoa vimekunyemelea usibishane na BIG BOYS kwanza unatumia Tecno mahari utapatia wapi nyambaaf!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Hapo kwenye Tecno
 
Kwani hela unayo au hauna...??maana unaoneka hauna hela...unaachaje K kisa shoo ndigo kama hiyo
 
Kuna mwanamke ambaye tayari nimeshamuwekea mahari lakini bado yupo kwao. Kulingana na mila za ukoo wao ukioa katika ukoo wao kabla ya wewe kumchukuwa mke wako lazima familia Yao wa kutane wacheze Ngoma zao za asili na kufanya baadhi ya mambo Yao mengine ya mila na desturi zao Baada ya hapo ndipo utakaporuhusiwa kuchukuwa mke wako na kuanza kuishi naye.

Yote hayo niliyakubali. Lakini cha ajabu na cha kuchukiza, jana mke wangu aliniita na kuniambia kuwa kulingana na mila zao anayegharamia sherehe hizo ni muoaji yaani mimi tena nitoe pesa za kugharamia sherehe zao hizo
kulipia baadhi ya ndugu zake nauli za kwenda na kurudi kugharamia chakula.

Mavazi na mambo mengine mengi pesa za sherehe ni nyingi kuliko hata mahari yenyewe.

Angekuwa wewe ungefanyaje kwenye situation kama hii.
Piga chini
 
Back
Top Bottom