Recent content by Metallic

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zipi hatua za kufuata katika kununua personal gun?

    Je inaruhusiwa kusafiri na bastola kwenye basi la abiria kwenda mikoani??
  2. M

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Hv inatuhusiwa kisheria kusafiri mkoani na bastola ukiwa kwenye basi??
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    gari nzuri nimeitumia toka 2010 nilianza na sf9 mpaka sasa niko na SG5 cross sport. inahimili shida iko na nguvu designed for off road. spares zipo siku hizi japo bei ya spare sio km ya corolla.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Car tuning in Dar es salaam

    mkuu hizo shughuli nenda nairobi ndo najua wamebobea kwenye hizo kazi hata mombasa. by the way hiyo gari yako sina haikika km unaweza kuigfamyia tuning.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jamanani natka kununua mini cooper used kwanaeijua

    NI GARI NZURI INAKIMBIA INATULIA KWA ROAD, FUEL CONSUMPTION EXCELLENT, ENGINE INADUMU DEPENDS NA MATUNZO YAKO. JAPO INABIDI UJIANDAE NA SPARES ZIKO JUU NA NI GARI ISIYOTAKA ROUGH ROAD AS IKO CHINI SANA.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa matatizo ya gari aina ya BMW, Range, Jeep na Benz karibu kwetu

    UNAWEZA NISAIDIA NINI MATATIZO MAKUBWA YA DISCOVERY II V8 FROM JAPAN KABLA SIJAINUNUA? JE NI GHARAMA SANA KUI-MAINTAIN? MATATIZO YAKE YA KWAIDA NI YAPI?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kodi za magari ukinunua kutoka kwenye NGO zikoje?

    Wakuu nataka kununua gari kutoka NGO moja hapa nchini. Lakini hili gari halikulipiwa kodi wakati linaingizwa nchini ila lilisajiliwa kwa namba za kiraia. Nikitaka kulimiliki natakiwa kulipa kodi kiasi gani? magari kama haya huwa wanalipa BIMA na Motor vehicle? gari lenyewe ni Discovery II, V8...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Subaru forester, naipenda sana, nipeni moyo niinunue tafadhali.

    Forester ni nzuri sana kwa rough road. Kuhusu spare usiwaze sana ziko nyingi except kwa zile gari za miaka ya karibuni ndo ishu kuzipata.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Subaru forester, naipenda sana, nipeni moyo niinunue tafadhali.

    BMW 3 series ni saloon car haifai kwa barabara aloisema atakua anaitumia(ya vumbi na mashimo) kama unataka perfomance go for impreza STI wrx then utanambia. Na unambie why WRC haifanyiki kwenye barabara ya lami?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    kuna uwezekano mkubwa kuna kenge anaekula mayai kwenye hilo banda.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutoa gari bandarini

    tembelea gariyangu.com utapata estimated amount ya kuingiza gari nchini.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Am totally Finished

    Dude usijali kuhusu gharama ulizoingia kwake. Akija akikusaundisha na ukakubali ndo utakua mchezo wake kila mara anafanya makusudi akijua huruki c unampenda. Ila kwa jinc unavyolalamika huna unjanja wa kumuacha ht km akizaa nje. Pole sana ila ndo hvyo kashaliwa kaka.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je kuna mapenzi kweli hapa

    usione wenye ndoa wanakonda na wengine wanatembea wanaongea wenyewe ni mambo kama hayo.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy s softiware upgrade

    thanks pal lemme try.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy S with ICS for Sale! Ninauza hapa

    Dah aisee umefanyaje ku-update me natumia simu kama hyo ila imenishinda ku-update kutumia samsung kies. msaada tafadhali.
Back
Top Bottom