Kwa matatizo ya gari aina ya BMW, Range, Jeep na Benz karibu kwetu

Tunzo

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
4,065
2,362
Habari wakuu! Tunashugulikia kitaalam magari tajwa hapo juu kwa bei nafuu, tupo mwenge mitaa ya TRA, magari tunayoshugulikia ni BMW, Range, Jeep, benzi na mengine, tunashugulikia kitaalam, tupo Dae es salaam maeneo ya mwenge, pia tunafanya Vehicle diagnostic services kwa hayo magari na magari mengine pia! karibuni wote! Kwa maelezo zaidi nichek kwa 0713415537 au 0684448888
 
Habari wakuu! Tunashugulikia kitaalam magari tajwa hapo juu kwa bei nafuu, tupo mwenge mitaa ya TRA, magari tunayoshugulikia ni BMW, Range, Jeep, benzi na mengine, tunashugulikia kitaalam, tupo Dae es salaam maeneo ya mwenge, karibuni, maelezo zaidi nicheki kwa 0713415537
Mkuu VW Toureg hamshulikii ni mauzoefu na hiyo gari kwasababu inanibamba sana
 
Habari wakuu! Tunashugulikia kitaalam magari tajwa hapo juu kwa bei nafuu, tupo mwenge mitaa ya TRA, magari tunayoshugulikia ni BMW, Range, Jeep, benzi na mengine, tunashugulikia kitaalam, tupo Dae es salaam maeneo ya mwenge, karibuni, maelezo zaidi nicheki kwa 0713415537

Kabla sijawa mteja wako naomba unipe utaalam kidogo kuhusu bmw x3 maana nina plan ya kuagiza hii mashine soon.. Changamoto zake ni zipi hasa hasa...
 
Habari wakuu! Tunashugulikia kitaalam magari tajwa hapo juu kwa bei nafuu, tupo mwenge mitaa ya TRA, magari tunayoshugulikia ni BMW, Range, Jeep, benzi na mengine, tunashugulikia kitaalam, tupo Dae es salaam maeneo ya mwenge, karibuni, maelezo zaidi nicheki kwa 0713415537
UNAWEZA NISAIDIA NINI MATATIZO MAKUBWA YA DISCOVERY II V8 FROM JAPAN KABLA SIJAINUNUA? JE NI GHARAMA SANA KUI-MAINTAIN? MATATIZO YAKE YA KWAIDA NI YAPI?
 
Mkuu hiyo gari ni nzuri ila ki kubwa ni utunzaji! nunua tu mkuu
 
Natamani uongeze maelezo kwenye hiyo gari, maana na mm naplan kuinunua ila sina uzoefu nayo!

Tuko wengi ....nadhan kweli mtaalamu aongeze maoni yake....si rahis kuacha na toyota bse wengi tunazijua....ila tamaa ya hii mashine sasa imenishika pabaya sana
 
Ni kwamba majibu yako yalifutwa au maswali ya wadau uliyaruka
 
Back
Top Bottom