Zipi hatua za kufuata katika kununua personal gun?

Zipi hatua za kufuata katika kununua personal gun?

Kuishi na silaha ni zaidi ya kuwa mtumwa ama mfungwa kwa tz. Tafuta means anuwai za ulinzi.
 
nnavyowachukia policcm, nikimiliki mguu wa kuku sitakufa kabla sijampa mtu kilema au umauti kabisa
 
nnavyowachukia policcm, nikimiliki mguu wa kuku sitakufa kabla sijampa mtu kilema au umauti kabisa
 
Sahau kwa bongo
hii sijui nikijaribu kutafuta nitapata??na kibali chake nahisi watanizungusha miaka 50

1200px-HK_GMW.jpg
 
Endapo kama nimelipia alaf kwenye kamati ya roho mbaya nikaonekana sina sifa ya kumiliki silaha je pesa yangu itarudishwa au?
 
Back
Top Bottom