Je kuna mapenzi kweli hapa

mimi mjamaa kama huyu naweza mpeleka hata polisi afungwe hata mwaka...mimi mwanaume jinga jinga siwezi kwa kweli siwezi.....mwanaume wa kujua tu maisha magumu hadi aombewe? siwezi..

taratibu basi usije kutoboa screen bure kwa hasira
Naamini wapo wanaume ambao wanajua nini maana ya uanaume wao na kwa nini walipewa nafasi ya kuwa wanaume
hawa wengine Mungu asaidie tuu
 
gender discrimination aisee smile hahahahahaha, u made my evening baby, lolz
mimi mjamaa kama huyu naweza mpeleka hata polisi afungwe hata mwaka...mimi mwanaume jinga jinga siwezi kwa kweli siwezi.....mwanaume wa kujua tu maisha magumu hadi aombewe? siwezi..
 
ni kisema heri niwe single naonekana mbaya...
eti wakiitwa wanawake wenye wanaume nae anaenda.....
mmmmh dunia hii ya kesho keri ya jana....
mwambie anijoin kwenye chama..... heri mimi k yangu iendelee kunenepa kuliko itumike iishe na brain nayo inaisha...for what....bye.

dah......... Smile,, nimekuwa nikisoma comments zako kuhusu mapenzi, u have a very negative attitude towards swala la mapenzi, it looks like ulitendwa vibaya sana and that made you change the way you think about love. Pole sana, bt i thnk you need to move on, its not worthy it remaining stagnant for years because of one or two worthiless guys who ruined your love percrption. Ukifanya hivyo utakuwa unamiss a lot of pleasure out there. By the way,kwa kubadilisha ur lifestyle you will always be remembering that painful experience which made you change your life........ Unajinyima mambo mazuri bure tuu, there are real men out there, jst because you met the wrong one first doesnt mean that all men are like that........... That was just a free advice to you after my observation if you dont like it,just potezea tuu.
 
Bibie anatumiwa hamna zaidi. Halafu mpaka hapo bado ana hamu ya kuolewa na huyo jamaa kweli?
 
mwanaume anayeingia kwa gia ya kuomba kulikopitiliza huyo ni oppoturnist...mama tafuta njia yako, nlishasema sitakaa nimpatie mwanaume cash hata siku moja, may be nimpatie zawadi tuuuuu. Kwani matatizo yeye ndio wa kwanza kuwa nayo? hata mie ndugu zangu wana matatizo kibaoo huko waliko
 
ni kisema heri niwe single naonekana mbaya...
eti wakiitwa wanawake wenye wanaume nae anaenda.....
mmmmh dunia hii ya kesho keri ya jana....
mwambie anijoin kwenye chama..... heri mimi k yangu iendelee kunenepa kuliko itumike iishe na brain nayo inaisha...for what....bye.

mh,maneno mazito haya jamani.
 
sio mmepungua hampo kabisa

tukisema wanawake wanyanyasaji mnakataa.tenda wema uende zako bana.mbona haya ni mambo ya kukaa chini na kuyaongea.ikiwezekana mama mkwe afunguliwe kajibiashara kadogo ka kuuza vitumbua na mkaa ajitegemee.awalee na wajukuu.wao wapenzi wabaki wakila raha zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom