Recent content by Mesh2lover

  1. Mesh2lover

    UKIMWI kwisha habari yake!

    Fake news
  2. Mesh2lover

    Jhpiego kiini macho cha ajira

    Watanzania tubadililike.... ukishindwa mtihani umeonewa, Ukishindwa interview ndo kaisa, Ukiugua umelogwa.... duh.
  3. Mesh2lover

    Jhpiego kiini macho cha ajira

    Kiongozi mkuu wa NGO hiyo ni Counrty Director na Sio Managing Director kama usemavyo. Acha uvivu wa kufikiri na kutafuta visingizio, Kasome uongeze elimu, Nenda Jhpiego Kaombe Feedback kwa nini hukuchaguliwa, fanyia kazi areas of growth au weekness utakazo ambiwa then anza upya. Huwezi kusema...
  4. Mesh2lover

    Jhpiego kiini macho cha ajira

    hana detail ya yoyote kati ya NGO hizo...
  5. Mesh2lover

    Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    See what SSRA have communicated
  6. Mesh2lover

    Mambo ya uswazi

    Lazima hapo ni Nigeria, jimbo la Biafra, Si Tanzania!!!!
  7. Mesh2lover

    Uuh.. Huyu msichana mpya hapa ofisini...

    Jamani Tundi nitalipataje Tundi....Utamaliza Mabucha...nyama ile ile:wacko:
  8. Mesh2lover

    Kuingiziwa vidole ukeni.

    Tatizo langu ni hiyo kutakiwa KUVUA NGUO ZOTE........ that Doc is a Rapist. I know one who wants any woman coming in for a medical treatment with him to be examned Naked..... This isnt acceptable and it s time they stop.
  9. Mesh2lover

    Privacy Law: Mwanaasha J. Kikwete kuwashitaki NECTA?

    Hakuna baya hapo eti jina la mtoto wa president kuonekana akiwa amefeli. No infringement of any prvacy. However, amefeli kama binadamu wengin tu hapo....... bahati yake mbaya ni kuwa yeye ni public figure, that is the price..... sorry Mwanaasha. Kwa hiyo tusishangae wala isiwe topic...
  10. Mesh2lover

    Aliyeongoza matokeo kidato cha 4; amshukuru Mungu

    This discussion is rubbish eti Kabila lina mchango kwenye kufaulu? hayo ni Mawazo mgando.....and by the way it is not you... Moderator remove this discussion people are losing focus of what JF was ment for. I think you would have help the Children at by telling us what they should do...
  11. Mesh2lover

    Masikitiko Makubwa Mwanza- Mti wa Kumbukumbu umekatwa

    I think the woman of substance is analytical in a very broad sense... what she wants to portray here is that.... blue colour is blue because we found it being called blue..... in which case we would not be surprised if it was called white and we wouldn't even question it.... which I agree....BUT...
  12. Mesh2lover

    Masikitiko Makubwa Mwanza- Mti wa Kumbukumbu umekatwa

    hakuna mtu anaponda kila kitu... wewe unajua kabisa kwamba mahakama za kikoloni zilikuwa Kangaroo courts na maamuzi yaliyokuwa biased sana anayetuhumiwa akiwa na ngozi nyeusi. usilete arguments for just the sake of argument... kwa akili yako wewe na mtazamo wako,,,its Ok Mandela kuitwa mhaini na...
  13. Mesh2lover

    Machangudoa wa UK kiboko,tahadhari kwa wana JF

    Yes tahadhari ni kitu muhimu sana...... ila if it was me, hiyo ni strauss kahn case and I was going to make sure she is outta my room the next second. If I needed a ho, then let me go find her by myself.....pole lakini... halafu euro mia 2 parefu pia duh.
  14. Mesh2lover

    Kashfa ya Jairo: Malipo ya zaidi Billioni 1 kusaidia Bajeti ipitishwe - Adai MP Beatrice Shelukindo

    Nyepesi...heheheh hehehe......ishakuwa scandle heaviest.....sas nyepesi kama anahusika duhhhhh!!!!
Back
Top Bottom