tanira1
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 942
- 159
Madadiliko ya sheria ya mifuko ya ifadhi ya jamii imenifanya nifadhaike sana wiki hii nimepoteza imani na nchi hii imeshafikia uuaji wa dhairi dhidi ya raia wasio na hatia wanachukua paye kubwa bado haiwatoshi sasa wameeamia kwenye fedha ambazo si haki yao, nilipanga kustafu mwakani ninunue trecta niwe mkulima sasa itabidi nisubili miaka ishirini na tano ijayo huu ni uuaji ajira niliyonayo si ya uhakika kiivyo kwa jinsi hiyo nakuwa mtumwa ndani ya nchi yangu hasa nikizingatia watoto bado wadogo nilichokuwa nakitegemea ni kilimo kikubwa ndio nisomeshe watoto.
Kwenye familia yangu hamna hata mtu mmoja aliye kwenye mfumo wa kifisadi ambaye ameweka fedha uswiss na kwamba hata wakikaa miaka mia na haki yangu fedha tulizo ficha uswis zitatutoa. wanafanya hivyo kwa kuwa wao wamelimbikiza uswiss haina shida kwao kwa hili!
My take:
1.naomba huhakika kutoka chadema kwamba tukiwachagua 2015 watatengua hili lisheria kandamizi? kwa kupata hakika hiyo tutafanya campaign bila kuombwa na tutalinda kura hata mwaka ikibidi ilimradi tuwafurushe majambazi!
2.naililia tanzania nchi inayojengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye choyo-by mr two a.k.a sugu