Masikitiko Makubwa Mwanza- Mti wa Kumbukumbu umekatwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masikitiko Makubwa Mwanza- Mti wa Kumbukumbu umekatwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bornvilla, Aug 7, 2011.

1. Bornvilla

Bornvilla JF-Expert Member

#1
Aug 7, 2011
Joined: Feb 17, 2011
Messages: 925
Likes Received: 20
Trophy Points: 35
Haya ni masikitiko makubwa kwa upande wangu pamoja na wale wanaothamini historia yao. Bob Marley alipata kusema"if you don't know your history,then you don't know where you are coming from".

Jijini Mwanza kuna alama ya mti ambao ulitumika kuwanyongea Waafrika wapinzani wa Ukoloni na serikali yake.Mti huo uko citycentre,umekatwa na kupakwa rangi. Kwa wageni Mwanza,eneo ni round about ya Nyerere road,Kenyatta road,Makongoro road na regional drive pale kwenye jengo la Benki kuu.

Kilicho nisikitisha zaidi ni uamuzi wa serikali kuweka kibao (display) kilichoandikwa "MTI HUU ULITUMIWA NA WAKOLONI KUWANYONGA WAHALIFU" Shabaash! Wahalifu? Yaani bado tunaakili za kikoloni? Hawa ni MASHUJAA na tunapaswa kuwaenzi. Kuwaita wahalifu ni ukosefu wa nidhamu na haya ni matusi ya wazi kwa wapigania uhuru.

Watu hawa walimwaga damu na si maji hivyo Bendera ya Tanzania iwe na ufito au mchirizi mwekundu ili kuonesha thamani ya damu ya mashujaa hawa.Kwani vita ilipiganwa kuleta uhuru vita ya majimaji na nyinginezo. Wito wangu kwa afisa utamaduni wa Mwanza abadili maneno ya kibao na Serikali iweke rangi nyekundu kwenye bendera yetu. Ukweli inasikitisha sana.

2. Nyota Ndogo

Nyota Ndogo Senior Member

#2
Aug 7, 2011
Joined: Aug 7, 2011
Messages: 152
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
CCM ya leo inaongozwa na vichaa.

Wanadhani vitisho vitatawala fikra za kimapinduzi za Mtanzania wa leo.

Nasikia Mwanza wamebadilishiwa Kamanda wa Polisi.

Tuwekee picha ya huo mti mkuu.

3. HenryJr

HenryJr Member

#3
Aug 7, 2011
Joined: Feb 19, 2011
Messages: 31
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
inchi yetu haina utaratibu wa kuenzi mashujaa wetu, hakuna viongozi wenye uchungu na nchi hii inaumiza

4. Mshume Kiyate

Mshume Kiyate JF-Expert Member

#4
Aug 7, 2011
Joined: Feb 27, 2011
Messages: 6,774
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
Ule mti ulikuwa ukumbusho mkubwa!
Tena ulikuwa sehemu nzuri ukielekea airport unaonekana vizuri nani sijui katoa amri ukatwe!

5. n

ngwendu JF-Expert Member

#5
Aug 7, 2011
Joined: Jun 7, 2010
Messages: 1,967
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
atakuwa JK tu huyo!

6. M

Mapujds JF-Expert Member

#6
Aug 7, 2011
Joined: May 12, 2011
Messages: 1,291
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
Ndugu zetu wa nyamongo waliitwa majambazi sembuse hao.chama na serikali havina uelekeo.

7. N

Ndakilawe JF-Expert Member

#7
Aug 7, 2011
Joined: Jul 6, 2011
Messages: 4,084
Likes Received: 1,475
Trophy Points: 280
CCM inaua historia na kukuza ufisadi

8. POMPO

POMPO JF-Expert Member

#8
Aug 7, 2011
Joined: Mar 12, 2011
Messages: 6,694
Likes Received: 14
Trophy Points: 135
PM aendele kwenye kaburi la Baba wa taifa Mwl. JK NYERERE akaombe msamaha. kiongoz hajali historia. Of coz ndio alioagiza

9. J

JACADUOGO2. JF-Expert Member

#9
Aug 7, 2011
Joined: Dec 13, 2010
Messages: 930
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Ccm bado wanafikiri kuwa wanawaongoza watu wa miaka tisini! Wamesahau kuwa siku hizi raia wanajua hata zaidi huyo Jk (Vasco da Gama)!

10. WomanOfSubstance

WomanOfSubstance JF-Expert Member

#10
Aug 7, 2011
Joined: May 30, 2008
Messages: 5,465
Likes Received: 72
Trophy Points: 0
poleni wote mnaoijua historia na mlioujua mti husika.

Kwa mtaji huo huo wa "historia" nitauliza kitu kimoja: kwani ina maana wakoloni "hawakuwa na mamlaka kuhukumu/adhibu wahalifu "?
Sikatai kwamba ukoloni ni mfumo mbaya wa utawala usio na haki.Lakini pamoja na hayo, bado kulikuwa na mamlaka iliyokuwa inatawala na iliyoweka sheria zilizotakiwa kufuatwa. Kama serikali ya sasa imesema mti ulitumika kunyongea "wahalifu", swali lisiwe kulaani hilo tamko bali liwe kuthibitisha kuwa walionyongewa hapo hawakuwa wahalifu.

Najua kuna usemi unaosema hivi"
"One man's terrorist is another man's freedom fighter." Ina maana tafsiri ya "wahalifu" KWA BAADHI YA WACHANGIAJI na hata Serikali hapa inategemea wanauonaje uhalifu kwa wakati ule!

Tusiponde kila kitu kinachofanywa na serikali kwa sababu ya kutaka mfumo mbadala.

11. Nazjaz

Nazjaz JF-Expert Member

#11
Aug 7, 2011
Joined: Jan 20, 2011
Messages: 5,345
Likes Received: 1,141
Trophy Points: 280
Thats why i hate CCM

12. Mesh2lover

Mesh2lover Member

#12
Aug 7, 2011
Joined: Dec 4, 2008
Messages: 65
Likes Received: 0
Trophy Points: 13
hakuna mtu anaponda kila kitu... wewe unajua kabisa kwamba mahakama za kikoloni zilikuwa Kangaroo courts na maamuzi yaliyokuwa biased sana anayetuhumiwa akiwa na ngozi nyeusi. usilete arguments for just the sake of argument... kwa akili yako wewe na mtazamo wako,,,its Ok Mandela kuitwa mhaini na aprtheid Government? wacha kuwa mfilisi wa kufikiria.

13. franksarry

franksarry JF-Expert Member

#13
Aug 7, 2011
Joined: Nov 9, 2009
Messages: 1,107
Likes Received: 229
Trophy Points: 160
Thanx Mwana JFs Bornvilla

Mh Wenje, Mh H Kiwia na City Mayor mmeliona hilo..?
Tuna tegemea mabadiliko toka kwenu kuanzia ktk siasa, uchumi, utamaduni na history.
Halmashauri ya Jiji La Mwanza lipo chini yenu - Chadema.

Imani yangu Chadema - Mwanza watakuwa wameliona hilo...!

14. TIMING

TIMING JF-Expert Member

#14
Aug 7, 2011
Joined: Apr 12, 2008
Messages: 21,837
Likes Received: 125
Trophy Points: 160
Personally nimesikitika, lakini let me tell you something

Meya mmoja wa hapa dar aliwahi kusema mbele yangu kwamba hizo antiquities ni zetu sisi na wazungu, yeye anachotaka ni kuongeza makusanyo tu!

Kama tunataka hizo kumbukumbu tuwe tunaandika vitabu ili wasome wengine

and he is looked as a very potential dude in CCM

15. WomanOfSubstance

WomanOfSubstance JF-Expert Member

#15
Aug 7, 2011
Joined: May 30, 2008
Messages: 5,465
Likes Received: 72
Trophy Points: 0
kwa akili yako wewe na mtazamo wako,,,its Ok Mandela kuitwa mhaini na aprtheid Government? wacha kuwa mfilisi wa kufikiria.[/QUOTE]

Talking of history, this is history... u like it or not there are two ways of looking at things!! You may call them Kangaroo courts but they were courts anyway with powers and jurisdiction to adjudicate.Its of no use to regurgitate here.The Govt of the day has decided that the tree was used to hang convicts... u like it or not its not going to change that fact!

'Never forget that everything Hitler did in Germany was legal" Martin Luther King, Jr

16. TIMING

TIMING JF-Expert Member

#16
Aug 7, 2011
Joined: Apr 12, 2008
Messages: 21,837
Likes Received: 125
Trophy Points: 160
Hii ni kweli

Je do you want me to believe kwamba mandela alikua mhalifu?? kumbuka kwamba we had a chance to rewrite our history (hasa kwenye hukumu) bada ya uhuru.... sasa hao wahalifu wanaokua refered hapo kwenye bandiko ni kabla au baada ya uhuru?

i think there was a need to qualify the statement by giving it some timezones/teritory and translate it to the current meaning

17. WomanOfSubstance

WomanOfSubstance JF-Expert Member

#17
Aug 7, 2011
Joined: May 30, 2008
Messages: 5,465
Likes Received: 72
Trophy Points: 0
Comrade,
Tuko pamoja.Mimi nimeuvuta mjadala a step further beyond mere sentiments. Ni more useful kama tunakuja na facts zaidi ya hizi tulizowekewa hapa na kuanza attacks on the government.Mwanahistoria yeyote yule anataka kujua huko nyuma nini kilitokea.Binafsi nmeguswa kama mpenda historia na siyo mpenda "siasa za vyama".Kinachojadiliwa hapa ni "siasa za vyama" zaidi kuliko historia ya huo mti japo najua pia siasa nayo iko posited kwenye historia and vice versa.

Ningetamani kwa mfano aje mtu atuambie kuna watu kadha wa kadha walinyongewa hapo kwa sababu walikuwa wanatetea haki zao au kupinga ukandamizaji na hivyo wakaonwa wana hatia ya uhaini. Sitapenda ati kusikia kuna majambazi na wauaji waliodhulumu mali na roho za watu, wakahukumiwa hapo na sasa tunawaenzi kama wapigania uhuru na kuwalinganisha na Mandela!!

18. Mesh2lover

Mesh2lover Member

#18
Aug 7, 2011
Joined: Dec 4, 2008
Messages: 65
Likes Received: 0
Trophy Points: 13
I think the woman of substance is analytical in a very broad sense... what she wants to portray here is that.... blue colour is blue because we found it being called blue..... in which case we would not be surprised if it was called white and we wouldn't even question it.... which I agree....BUT she wants us to believe colonial injustices were just...something that is next to impossible...they were here to make sure africans remain poor and brainwashed people who had mentality like yours to work against their fellow Africans. Thank you MTM for underlining the issue that the so called "convicts" lived during the colonial error which did not see Nyerere/Mandela as people fighting for liberaration but nuisence who should be thrown to the jails.....

19. D

Deo JF-Expert Member

#19
Aug 7, 2011
Joined: Nov 10, 2008
Messages: 1,191
Likes Received: 89
Trophy Points: 145
Hii serikali ni mawakala wa ukoloni mamboleo. Hawakufanya hivyo kwa makosa, wao wanaona hivyo ndivyo ilivyo.
Usiumie na kukasirika tu! CHUKUA hatua unayoweza

20. D

Deo JF-Expert Member

#20
Aug 7, 2011
Joined: Nov 10, 2008
Messages: 1,191
Likes Received: 89
Trophy Points: 145
Talking of history, this is history... u like it or not there are two ways of looking at things!! You may call them Kangaroo courts but they were courts anyway with powers and jurisdiction to adjudicate.Its of no use to regurgitate here.The Govt of the day has decided that the tree was used to hang convicts... u like it or not its not going to change that fact!

'Never forget that everything Hitler did in Germany was legal" Martin Luther King, Jr[/QUOTE]

It is very true that there are two ways of looking at this matter, from the PATRIOTIC side and the other side of COLONIAL agents. It should be known that no ordinary criminals were hanged in public but only the FREEDOM fighters and this is historical truth.
"The Govt of the day has decided that the tree was used to hang convicts.." This proves to which side is this goverment siding.
I am ashemed of my goverment if that is the case

Loading...