Recent content by Meropenem

  1. Meropenem

    Kupeleka majeruhi USA, Jambo JEMA sana lakini...

    Ni kiki za siasa tu.Napata ujumbe ufuatao kwenye hii safari ya Marekani 1.Wanasiasa ni kila kitu yani hata udaktari wanaweza na ndio mana wameamua wao watoto wakatibiwe Marekani 2.Wanasiasa hawaamini utaalamu wa afya unaokua practised Tamzania na ndio mana haikua kwenye akili zao kujaribu...
  2. Meropenem

    Wasafi dot com fanyeni marekebisho kwenye App yenu..

    mimi nimelipia mara tatu zote zinadownload kadude ka kb2.I dont know da problem.Nimeshaacha
  3. Meropenem

    Shule za Dar kushika mkia matokeo ya kidato cha Nne, Makonda jitafakari na ikiwezekana jiuzulu

    Matokeo ya form iv yametoka na 60% ya shule kumi za mwisho imetoka mkoa wa Dar es salaam. Binafsi nilitegemea mkuu wa mkoa Bw Paul Makonda atatoka kuongelea ubovu wa matokeo kwenye mkoa anaoongoza anakuja kututangazia kuhusu watu wanaotuhumiwa kujihusisha na biashara ya madawa.Sisemi si sahihi...
  4. Meropenem

    Religion Leadership CV ya Deogratius Nalimi Kisandu

    Lengo kuu la mtoa post ni kuongelewa.Nafkiri ana sababu yake.
  5. Meropenem

    Rais Magufuli na elimu

    Nimekua nikifuatilia mwenendo wa mkuu wa nchi tangu kipindi anatushawishi tumchague.Alikua mtu wa uhakika na wengi waliamini utekelezaji wa anachokiahidi.Moja ya vitu muhimu alivyoahidi ilikua elimu bora kwa gharama nafuu.Mpaka sasa nashindwa kuelewa alitudanganya au hakumbuki alichoahidi.Mambo...
  6. Meropenem

    Zitto: Idadi ya wabunge wa upinzani kwa sasa tunatosha kumg'oa Rais Magufuli

    Wewe hukupatwa na maafa ya kagera mtu akaja kukupa maneno ya kejeli ndo mana unaongea huu utumbo.Huna njaa pesa ipo,Husomi ukajua shida ya kukosa mkopo,mshahara wako unatosha huhitaji kupandishwa daraja wala kuongezwa,Matamshi yasiyo na mbele wala nyuma kwako ni kama nyimbo za diamond.Vaa viatu...
  7. Meropenem

    Sababu zipi zilizomfanya rais Magufuli kutokwenda Zanzibar?

    ndio mana ndege alizonunua wanapanda wanyonge
  8. Meropenem

    Kwa hali ilivyo, mikutano ya siasa ikiruhusiwa inaweza kuleta balaa

    Hamna njaa wanaosema kuna njaa ni wapinzani na wafanyabiashara,Serikali haina shamba wanakagera limeni ardhi ni ya kijani,Kagera mmezidi tetemeko nyinyi;Ukimwi nyinyi na mto ngono uko kwenu. bado huoni tu
  9. Meropenem

    Mh Lwakatare, jibu uliloambulia limetengeneza historia kwako.

    wewe ni binaadamu.Toka lini kagera ikaomba msaada wa aina hiyo.Unachukulia mkoa uliopata tetemeko sawa na mikoa mingine.
  10. Meropenem

    Mh Lwakatare, jibu uliloambulia limetengeneza historia kwako.

    unashauri wajenge kiwanda kwa mawazo ya mtu aliyetumia pesa zao.Haijakukuta wewe ndo mana ni rahisi kushabikia.Mtu hana chakula wala pa kulala unashaur ajenge kiwanda
  11. Meropenem

    Nchi Sasa Imefilisika.

    Eti Kagera mbadilike ukimwi nyinyi,tetemeko nyinyi utafikiri waliliomba tena anafanya utani watu wanaumia.Hatuna raisi
  12. Meropenem

    Nchi Sasa Imefilisika.

    tunafikiria sawa.Nataka atoke akiri amefeli mana picha tumeona bado maneno
  13. Meropenem

    Kwa Rais Magufuli tu - Must Read 2017

    mkuu sijui kama hii sababu yako inamfanya magu apendwe
  14. Meropenem

    Rashid Makwiro (Chid Benz) hali yake ni tete kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya

    Ni rahisi sana kumlaumu Chidi kwa hali aliyofikia ila tujue kabisa kuna wakati na yeye anajiskia na kujuta kutumia.Addiction na dependence sio mchezo.unaangamia unajiona.Muda aliotumia kule sober house ni mdogo sana ukilinganisha na kipindi alichotumia madawa i mean tangu alivyoanza mana...
  15. Meropenem

    WASALITI WA KISIASA 2016

    Za mchana wana jukwaa.Leo nimeona niwaletee list ya wanasiasa ambao kwa namna moja au nyingine wamesaliti vyama na watu wanaowaongoza. 1.Freeman Mbowe Huyu ni kati ya wanasiasa wanaofanya siasa biashara bila kujali jamii itamchukuliaje na madhara ya usaliti wake kwa anaowaongoza.Kabla ya...
Back
Top Bottom