Nchi Sasa Imefilisika.

Nchi Sasa Imefilisika.

LIBOR=?

Mkuu,samahani ningependa unisaidie kuelewa!
B.O.T=?
Waweza Kuilezea Vizuri!
Hiyo ni Private Public Partnership (PPP) ambapo muwekezaji anajenga kitu mfano nyumba ama barabara. Baada ya kujenga anaendesha kwa muda waliokubaliana mfano miaka 20 na anakuwa anatoza fee ili kurudisha pesa zake alizowekeza. Muda ukiisha anarudisha serikakini ili serikali imiliki hicho alichokijenga. Mfano mzuri ni Mlimani City Mall.
 
Acha kulaghai watu serikali inamtafuta mwekezaji atakayejenga kwa hela zake then utumike utaratibu wa Build-Operate-Transfer (BOT). Mlijinasibu kujenga kwa hela zawananchi leo hii mmeshindwa, mmepiga U-turn. Oneni aibu basi hata mnapotaka kupindisha ukweli ulio wazi.
Barabara ya Dar - Chalinze haikuwahi kutangazwa kuwa itajengwa kwa fedha za serikali bali tangia mwanzo nimekuwa nikisikia kuwa itajengwa kwa utaratibu wa PPP. Niliwahi kumsikia Mh. Rais akisema wameishampata transaction advisor ili kusaidia mpango huo. Labda sasa wameamua kujenga kwa fedha za walipa kodi.
 
1. Barabara ya Dar Chalinze zabuni imetangazwa ili ujenzi uanze. Serikali imefilisika.
2. Serikali imeagiza ndege nne zaidi ambapo malipo ya awali ya ununuzi yameshalipwa. Serikali imefilisika
3. Watumishi wa umma wanalipwa mishahara kwa wakati. Serikali imefilisika
Sasa mamikopo ya nini kama mnamahera tatizo lenu mnapenda kutetea vitu ambavyo hamna uwezo navyo waziri wa wizara anasema hali ni dhohofu wewe KIDAMPA unaorodhesha matukio ya kisanii ambavyo hata wizara mbili hazitoshi book saba punguza mchecheto mambo ni magumu mtaisoma namba wafundishaji wenyewe TRUMP nae huyoo tarehe 20 mwezi huu MTAKOMA
 
1. Barabara ya Dar Chalinze zabuni imetangazwa ili ujenzi uanze. Serikali imefilisika.
2. Serikali imeagiza ndege nne zaidi ambapo malipo ya awali ya ununuzi yameshalipwa. Serikali imefilisika
3. Watumishi wa umma wanalipwa mishahara kwa wakati. Serikali imefilisika
Kule kukopa wewe unaelewa nini?
 
Binadamu uzoea na kuamini vile vitu vinavyopita machoni kwake mara nyingi na kuvisikia mara nying vinajenga picha ndani ya ubongo wake aidha mbaya au nzuri ,uongo au ukweli sasa napata tabu sana unaposema nchi imefilisika ni vigezo gani umevitumia vigezo vya kiuchumi au vigezo vya kimazingira kuna vigezo vya nchi kutangazwa au kuonekana imefilisika na last time i check in Tanzania aijafikia hata kigezo kimoja kati ya 6 ambavyo vinahalalisha nchi kufilisika
 
ADF=?
ADB=?
IDA=?
IBRD=?
Mkuu African Development Bank (AfDB) ina windows mbalimbali za kukopa. Nchi zenye uchumi mdogo zinakopa kwenye window ya ADB na zenye uchumi wa kati zinakopa ADF window (Hizi zote huitwa African Development Bank). Kwa world bank (WB) kuna window mbalimbali z kukopa kulingana na uchumi. Nchi zenye uchumi mwembamba hukopa International Development Association (IDA) na zenye uchumi wa kati na wa juu hukopa International Bank for Reconstruction and Development (IBRD); zote hizi huitwa World Bank.
 
Tatizo mtoa 'hotuba' anapenda sifa nyepesinyepesi...na tatizo kuu zaidi ni hashauriki.

Binafsi pamoja na ugumu huu wa maisha natamani uongezeke maradufu ili utawala wake uanguke kwa aibu.
tunafikiria sawa.Nataka atoke akiri amefeli mana picha tumeona bado maneno
 
Halafu mbaya kuliko baada ya kuwadhulumu bila aibu mtu anafunga safari kwenda kuwakejeli watu aliowadhulumu huku wakiwa katika hali mbaya. Dhambi sana! Malipo ni hapa hapa duniani mbinguni ni mahesabu tu!
Eti Kagera mbadilike ukimwi nyinyi,tetemeko nyinyi utafikiri waliliomba tena anafanya utani watu wanaumia.Hatuna raisi
 
Back
Top Bottom