Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,778
- 7,594
Kuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa rehema zake na Upendo usio kifani. Ameruhusu lililotokea litokee.
Inafurahisha pia kuona jitihada za kunusuru maisha ya majeruhi watatu (sijui ni jitihada za nani lakini hilo si muhimu); lakini nina maswali mengi kichwani na si hitaji majibu kwa yote bali kwa kililo/yaliyo makuu. Nayo ni:
1. Kwa nini wapelekwe USA na kwingineko ambako kunaweza kuwa cheaper?
2. Hivi ni kweli kuwa majeruhi hawa wasingeweza kutibiwa hapa hapa kwetu au Kenya kwa majirani zetu?
3. Je, yawezekana ni kweli kuwa hadi leo Tanzania na nchi majirani hazina uwezo kabisa wa ku deal na serious cases kama hizi (yaani kama hizi serious xases)?
4. Je, yawezekana huu ni uwekezaji mkubwa kwenye siasa za 2020?
Mpango huu ubaweza kuwa na maswali mengi bila majibu ya kutosha lakini jitihada hizi ni za kupongezwa sana; yote katika yote, hawa watoto wanahitaji medical attention iliyo makini sana na tuwatakie safari njema na hatimaye siku moja hali zao zitakapokuwa zimeimarika zaidi Mungu awarudishe salama nyumbani.