Kwa Rais Magufuli tu - Must Read 2017

Watumishi wanaoutumbuliwa kila kukicha ni wale wa teuzi hawa wa kawaida ambao ndio wengi hawana tatizo la kuona ni kaa la moto

Mtumishi wa kawaida anachukiaje Magu? Mshahara wake kila nwezi una wahi, sehemu zingine kama waalimu wa sec na primary hadi posho zao zimerejeshwe, wengine baada ya vikao visivyo na tija kufutwa baadhi ya vitu ambavyo kwao ilikuwa ni ndoto wanavipta....Cha ukweli ni kwamba bado haijapatikana alternative ya spending za government ziweze ku finance watu wa chini...ila tusisahu madawati pekee zimepeleka cash kubwa kwa walalahoi wengi kinyume na zamani tenda ingechukuliwa na vibosile fulani wanaohusika na mambo kama hayo....

Swali la kujiuliza hivi Magu alaumiwe yeye ndiye mtaalamu au yeye ni kiongozi tena wa ki siasa? Something is wrong kwenye reasoning ya watu wetu, na kinachoogopesha zaidi unakuta huyo mtu anayelalamika yeye ndiye anayetakiwa kutoa set of options ili mkuu awe na menu ya kutosha kuchagua ipi itakuwa nzuri kwake kisiasa na ki uchumi!

I think we need to reassess our attitudes...
 
Waturuishie chanel zetu za bure kama walivyohaidi la sivyo waturudishie analogia yetu maana antena bado . huu ni uonevu na unyonyaji mkubwa kwetu wananchi wa chini.
 
Hayo ni maoni yako ila kundi linalompenda nikubwa sana kuliko uzaniavyo, usije ukawa unashinda hapa jf na ikawa ndio tathimin yako kuwa Bw Pombe hapendwi.

Kwa sisi wafanyakazi tunampenda sana mfano tu mdogo wakubwa wengi wa Idara zama zilee walikuwa ni kama miungu watu ila sasa wamekuwa wa kaida sana tuu.na wamekuwa hata ushauri wakiomba kwa wafanyakazi wa chini,

Kikubwa usijidanganye wala kudanganywa na story za vijiweni.

Piga kazi mkuu kila kitu utakiona sawa tu.
mkuu sijui kama hii sababu yako inamfanya magu apendwe
 
Acha urongo...mimi ni mtumishi wa umma na ninampenda mpaka wakati mwingine nakosa balance hata nisione makosa dhahiri yanayofanyika....Wasiompenda ni wale ma bwanyenye miungu watu waliokuwepo kwenye ofisi za umma...Be informed...Fanya utafiti uone!
Haina tatizo wewe kumpenda maana katika kundi la ng'ombe punda hakosekani.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Unampigia mbuzi gitaa na wewe unalijua hilo maana umeligusia katika kila orodha

Halafu umewasahau vikaragosi wake humu JF. Ukiweza wape ushauri maana hawamsaidii kwa viroja vyao. Anza na Barbarosa
 
Aaah kwahyo wew ulikua unapenda watu waendelee kupiga madili,wafanya kazi hewa waendelee kuwepo watu wajilimbikizie pesa,acha wamchukie tu maana walio kua wanayatenda hata Mungu hapendi
 
Aaah kwahyo wew ulikua unapenda watu waendelee kupiga madili,wafanya kazi hewa waendelee kuwepo watu wajilimbikizie pesa,acha wamchukie tu maana walio kua wanayatenda hata Mungu hapendi

Mheshimiwa mkuu wa mkoa uwe unasoma kwa utulivu, na ndio maana ulikua unafeli darasani japo umekuja kuwa mkuu wa mkoa.

1. sijakuandikia wewe
2. hakuna mahala niliposhauri watu chochote, kwamba waendelee kupiga madili au vyovyote
3. Sijaonyesha popote kuwa nimemwandikia Mungu
4. hujui maana ya kung'oa jino bila ganzi, nadhani cheo chako hakikutoshi
5. Mambo ya Ngoswe...mwachie Ngoswe mwenyewe..
 
Mtumishi wa kawaida anachukiaje Magu? Mshahara wake kila nwezi una wahi, sehemu zingine kama waalimu wa sec na primary hadi posho zao zimerejeshwa, wengine baada ya vikao visivyo na tija kufutwa baadhi ya vitu ambavyo kwao ilikuwa ni ndoto wanavipta....Cha ukweli ni kwamba bado haijapatikana alternative ya spending za government ziweze ku finance watu wa chini...ila tusisahu madawati pekee zimepeleka cash kubwa kwa walalahoi wengi kinyume na zamani tenda ingechukuliwa na vibosile fulani wanaohusika na mambo kama hayo....

Swali la kujiuliza hivi Magu alaumiwe yeye ndiye mtaalamu au yeye ni kiongozi tena wa ki siasa? Something is wrong kwenye reasoning ya watu wetu, na kinachoogopesha zaidi unakuta huyo mtu anayelalamika yeye ndiye anayetakiwa kutoa set of options ili mkuu awe na menu ya kutosha kuchagua ipi itakuwa nzuri kwake kisiasa na ki uchumi!

I think we need to reassess our attitudes...

Posho zimefanyeje!!??? we uko nchi hii ya bandari kuhamia Dodoma au nyingine?
 
Mheshimiwa mkuu wa mkoa uwe unasoma kwa utulivu, na ndio maana ulikua unafeli darasani japo umekuja kuwa mkuu wa mkoa.

1. sijakuandikia wewe
2. hakuna mahala niliposhauri watu chochote, kwamba waendelee kupiga madili au vyovyote
3. Sijaonyesha popote kuwa nimemwandikia Mungu
4. hujui maana ya kung'oa jino bila ganzi, nadhani cheo chako hakikutoshi
5. Mambo ya Ngoswe...mwachie Ngoswe mwenyewe..
Kwahyo Kaimu wangu unamaanisha nisiwe naishia njiani kusoma
 
Ukiwa kiongozi kwenye nchi za kiafrica unageuka kuwa mungu na mungu wewe unakuwa husikii ya binadamu wenye dhambi .
 
Hayo ni maoni yako ila kundi linalompenda nikubwa sana kuliko uzaniavyo, usije ukawa unashinda hapa jf na ikawa ndio tathimin yako kuwa Bw Pombe hapendwi.

Kwa sisi wafanyakazi tunampenda sana mfano tu mdogo wakubwa wengi wa Idara zama zilee walikuwa ni kama miungu watu ila sasa wamekuwa wa kaida sana tuu.na wamekuwa hata ushauri wakiomba kwa wafanyakazi wa chini,

Kikubwa usijidanganye wala kudanganywa na story za vijiweni.

Piga kazi mkuu kila kitu utakiona sawa tu.
Nahisi you have a problem of thinking
 
Back
Top Bottom