Recent content by mercky

  1. mercky

    Happy birthday Mecky

    Namshukuru Mungu kunipa tena kibali cha kutimiza umri huu! Nawatakia wale wenzangu tuliozaliwa tarehe kama ya leo na mwez huu!! happy birthday to us!
  2. mercky

    House4Rent Office ipo Sinza Mugabe 600000

    ndio unaweza ukalipa miez 3 tuu
  3. mercky

    House4Rent Office ipo Sinza Mugabe 600000

    office ina vyumba vitatu ipo kwenye mazingiraa mazuri na salama ulinzi upo wa kutosha ipo karibu na City style Hotel hapa Dar es salam na pia karibu na kituo cha daladala cha Mawasiliano. Kwa mawasiliano zaid piga no 0712134566
  4. mercky

    Asilimia kubwa ya vijana wanawaza ngono muda wote

    Age yako kwanza nataka nijue
  5. mercky

    Nahisi mama watoto watu wamemfanya vibaya

    Yaan mtoa post hii ni kilazaa cjui nmfanyaje?? kesha tafunaa kaingia bila kukwamaa et anauliza swarii?? khaaa!! eboo!!huyo ni mkeo au maana cjajuaa had tumbo linaumaa alafu unaleta huku nahisi ukapimwe akili mkuu
  6. mercky

    Nimepatwa na Majonzi, maombi ya Uchaguzi Zanzibar

    Mwana mpumbavu ni mzigo kwa mamaye!Hiv wewe umetumia nini kufikiria?? najua umetumia makamasi si bure! Watu walikuwa wanaomba Mung amweke yule aliyekusudia! Nyambafuu mkubwaa! Kamwe huwezi kumuingilia Mung! Misingi ikiharibika mwenye haki atasimama wapi???
  7. mercky

    Obama in Cuba Photos

    Mremboo nakuungaa aiseee mm huwa siachi kuwafuatilia
  8. mercky

    Natafuta rafiki wa kike

    Mkuu kumbe we ni mrohoo duh! we mgeni humu na ugeni wako huo huo unatafuta beibe? wenzio huwa wana nyuti Kwanzaa wanasoma mazingiraa!! oky tarajia kupataa maumivu ya moyo na ya mizingaa all the best!
  9. mercky

    Natafuta rafiki wa kike

    Weka vigezoo vyako na wewe mkuu!! wapo wengii humu utashindwaa mwenyewe kuchaguaa! pia mkuu unafanya wapi kazi hilo ni la muhimu Sana tegemea kuswalikwa swari hilo mm nimewasaidiaa tuu
  10. mercky

    Kipanya: Katuni hii imekataliwa na mhariri

    mmmmmh aisee matusii makubwaa katutukanaa ss waandish wa habar
  11. mercky

    Mwandishi wa habari wa DW aliyetekwa apatikana

    Mm mwenyewe nilifikiriaa hivyo uchaguzi ukiishaa atapatikanaa! Kazi ya uandishi wa habari huwa ni ya uadui Sana na chama kilichopo madalakani. Ukifuataa sheriaa zake lazima hayo yatakukuta lakin ukitanguliza tamaaa ya pesa huwez kuwa adui utakuwa unafichaa mauchafuu yao!
  12. mercky

    Zanzibar: CCM watashinda kwa namba,CUF watashinda kisaikolojia

    Hahahaha nacheka kwa hasiraa na kwa kukudharau mkuu! sikutegemea kama ungecomment pumbaa aisee!! hao unao watetea kama ni kweli hawana fujo kwa nn mwanzo waliyakataa matokeo na ikawalazimu kupoteza pesaa nyingi kurudia uchaguzi?? unajifanyaa wewe c mnafiki?? Msingi ikiharibikaa mwenye haki...
  13. mercky

    Kipindi cha hawavumi lakin wamo ITV ni kipindi bora ktk muda usio sahii

    kumbe na wewe mkuu umeona enh!!! ni kizuri kile kipindi sema wamekiweka usiku Sanaaa inabid ITV wajipange wakiweke muda muafaka wa kila mtu aweze kukitaza
  14. mercky

    Natafuta rafiki wa kike anayejitambua

    Mung akupatie sawa na hitji lako la moyo .Utafuteni kwanza ufalme wa Mung hivi vyote mtapatiwa. Tafuta uso wa Mung yeye ndo atakupa mwenye hofu ya Mung! Humu ndan weng n wanafiki!
  15. mercky

    Yaliyojiri: Uchaguzi wa Marudio visiwani Zanzibar - Machi 20, 2016

    Kamwe sitokujaa ipendaaa ccm naichukiaa daimaa! hv nafsi zao haziwasutii??
Back
Top Bottom