Kipanya: Katuni hii imekataliwa na mhariri

Mbulu

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
5,620
5,513
1458623135079.jpg
 
Huu ni ukweli ambao ni mwiba kwa waandishi wa habari waliokiuka misingi na maadili ya taaluma zao kwa ajili ya vijisenti vya wanasiasa......
Wapo waandishi waliokuwa stadi kuwachafua au pengine kufichua maovu ya wanasiasa na ni waandishi hao hao waliochukua jukumu la kubeba kalamu zao mithili ya dodoki kuwasafisha hao hao wanasiasa....kwa maslahi yao huku wakiuacha umma ukiwa njia panda....
 
Back
Top Bottom