Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,414
Ila huko Cuba watafunikwa...kuna watoto wazuri huko acha kabisa.
Hapana kuwa mabinti wa raisi tu wamefunika kila kitu achilia urembo
Ila huko Cuba watafunikwa...kuna watoto wazuri huko acha kabisa.
Kashfa na matusi ya nini tena?Aaaah!! Avtr ynywe ya Ku edit! Sura ngumu kama k ya mzee!
Obama ana watoto wake wawili kusafiri nao hata sio issueAcha akili za bange bange, lazima utembee na watoto wako, hiyo ndo familia bora, nimeona comment za watu wengi humu eti wanamshangaa Obama kusafiri na watoto wake ,wabongo bana, tuna akili za ki Ng'ombe kweli.
The best photo to me, in love with those cars![]()
Air Force One broke through the gray crowds as it came into land in Havana, soaring over streets filled with cars dating back decades
Amejitahidi sana mkuu, especially pale Libya na syriaNikataka kushangaa potrait ya Lincoln inafanya nini hapo kumbe wameiweka tu kwa ajili ya Obama.
Katika uongozi wake Obama amejitahidi sana kurudisha mahusiano ya Marekani na baadhi ya nchi yaloenda pembeni.
Mremboo nakuungaa aiseee mm huwa siachi kuwafuatiliaNapenda sana picha za family ya Obama, hata sijui kwanini.
Labda ni vile vivazi vyao matata,na wanajua kuvaa kwelikweli.
Kwani kwenye mwili wako mvua inapita...?Hivi hao security wa jamaa mvua haiwanyeshei ??? Ila majibu yasiwe tu jamaa ni makomando wa kutisha kwamba mvua hazipiti kwenye miili yao
Haha haupiti mkuu ,sasa sijui walitengeneza miamvuliKwani kwenye mwili wako mvua inapita...?
Amejitahidi sana mkuu, especially pale Libya na syria
Obama ana watoto wake wawili kusafiri nao hata sio issue
Sasa hawa wa kwetu wake watatu watoto sabasaba
Wataachaje kufurahi mbele ya USA?
Hukuwaona wala vumbi walivyokimbizana utadhani mifugo waliofunguliwa toka zizini siku Obama alipotembelea TZ?
Sasa, kwa kawaida mimi huwa situngi mambo [maana wala vumbi wenye hasira wasije wakadai nimezusha bure].
Jionee mwenyewe kwenye hii video.
USA baby View attachment 331653View attachment 331654View attachment 331655.
Kweli mwanangu,nimeona jinsi wala vumbi tulivyopigwa jaramba na Obama.