vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 420
Nimekuwa mfuatiliaji wa kipindi cha hawavumi lkn wako hakika ni kipindi kizuri sana kuwatoa wasanii wachanga tatizo kiko muda usio muafaka
Muda unaorushwa hewani kwa mlaji wa mwisho"muda usiomuafaka" kivipi mkuu you mean muda wa kipindi kinaporushwa hewani au muda wa kuanza kuonekana kwenye tv officially?
Ewaaaah umepatiaau unachomaanisha wanaonyesha kipindi usiku sana, huku watazamaji wengi wakiwa wameshalala?
ni kweli.. hilo nalo ni tatizoEwaaaah umepatia
Kweli watu tunatofautiana. Binafsi sioni.uzuri wa hicho kipindi naona kama kinapoteza muda tu. Kimekosa ubunifu kabisa na nadhani hata wadhamini hakina ndio maana kimewekwa usiku huo.
Hata hivyo kwangu bado kimewekwa mapema.mno ilipaswa kisitangulie ISIDINGO THE NEED. Sipendi kuona nalazimika.kuangalia hawavumi ili tu nisubiri isidingo. Nawashauri ITV wanze na isidingo ikisha ndio waende kwenye hawavumi lakini wamo.
Mkuu isidingo ni habari nyingine kabisa. Kina ray "wanakunywa tu maji" siku hizi. Hata hivyo natafuta namna ya kuangalia isidingo kwa urefu zaidi maana hawa itv dk 15 tu imekwisha na matangazo kibao. Kama unajua namna ya kutizama isidingo kwenye mitandao tusaidiane mkuu.unaangaliaje isidingo wakati wakina ray kigosi wamejaza sinema mdukani