Recent content by Mehmed II_The Conqueror

  1. Mehmed II_The Conqueror

    Wasiyoyajua Waislamu wengi

    😂😂😂 pointless tupu.
  2. Mehmed II_The Conqueror

    Nifanyaje kuzuia matangazo kuingia kwenye simu yangu wakati wa kutafuta kitu kwenye Browser

    Nenda setting kwenye simu yako, ingia kwenye upande wa connections tafuta neno limeandikwa private DNS, kama hujaliona ingia kwenye maandishi ya more connection settings na utaona maandishi yaliyoandikwa private DNS. Baada ya kubonyeza hilo neno la Private DNS, yatakuja maneno matatu, Off...
  3. Mehmed II_The Conqueror

    Mwanamke hawezi kukuheshimu kama hakuogopi

    Masculinity is built but femininity is preserved.
  4. Mehmed II_The Conqueror

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Badilisha search engine au kwa kupitia Google, search "Bing" kisha andika ajira portal kwakupitia Bing, na utafanikiwa kuziona websites zote mbili za ajira portal.
  5. Mehmed II_The Conqueror

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    😂😂😂Ramli zambi. Japo nasikilizia call for interview na wiki ishakata
  6. Mehmed II_The Conqueror

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ahsante mkuu, yani tutadumu kwenye hii vita mpaka kieleweke.
  7. Mehmed II_The Conqueror

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hatimae rasmi nimeingia kwenye mtanange wa Utumishi baada ya kuapply kwa mara ya kwaza katika kimuli muli kilichozima jana.
  8. Mehmed II_The Conqueror

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ten hag ni jipu, 10hag sio kocha wa kiwango kuweza kuifundisha United. GGMU💪
  9. Mehmed II_The Conqueror

    Naomba nije nifanyie field kwako

    Mkuu, jaribu kuweka sawa maelezo yako. Fitter mechanical engineering alafu level 2? hii imekaaje. NB: 1. Fitter mechanics level 2-issued by Veta 2. Mechanical engineering second year- issued by Nacte Nazani ulikuwa unamaanisha moja kati ya hizo
  10. Mehmed II_The Conqueror

    Kwanini kijana hutakiwi kutoa mahari kwa karne hii

    Kwa maelezo hayo, unasafari ndefu sana hadi kuujua Uislamu. Anyway tusiharibu uzi wa watu hapa si mahala pake kwa mada hiyo. Lakini nisikuche patupu hii 👇 inaweza ikakupa mwanga kidogo.
  11. Mehmed II_The Conqueror

    Kwanini kijana hutakiwi kutoa mahari kwa karne hii

    Hiyo si haki. Na kwamantiki hiyo jamii zetu zinahitaji elimu juu ya swala hili la mahari
Back
Top Bottom