Mitaala mipya ya Elimu imelenga kukuza ujinga

Ndio maana tulishauri kuwe na authority inayo simamia mitaala ya elimu kama ilivyo nchi nyingine zinazo endelea.

Jambo hili linahitaji watu wasomi, wenye uelewa mkubwa wa dunia, walifanya vizuri kwenye elimu na watu wasio na njaa.

Hizi taasusi ni kama zimetengenezwa na baraza la madiwani.

Tutakuja kuwa na kizazi kisicho na uelewa wa mambo.

Mtoto anaanza kuspecilize akiwa form 3 na form v anasoma fasihi na kingereza.

Kuna nchi moja kubwa duniani tulienda kusoma huko, form 5 unasoma masomo kama 7 hivi ila core subject ni kama 3.. mfano kama umechukua science basi utasoma Biology, chemistry, physics, mathematics, languages, economics, uraia ambayo inasoma kuhusu nchi husika.pamoja na IT.

Kwenye science kuna science 1 and science 2

Wale wanao chukua science 1 ambayo ni kama PCB, masomo hayo matatu yanakua na coefiecient (weight) ya 5 na mengine yote inclusing chemistry yanakua na coeficient (weight) ya 2.

Wale walio soma chuo nadhani mnanielewa.

Kwa hiyo mwanafunzi akimaliza a level anakuwa na maarifa ya kutosha.

Tutakuja kuwa na watanzania ambao hawata kuwa na qualificatiom za kwenda vyuo vya nje kwa sababu kuna taasusi ziwekwa kqa kusikiliza wana siasa.

Kuna mambo ambayo yanatakiwa kufundishwa kwa mtanzania kama kilimo kwa kila mwanafunzi, madini, utalii etc.

Kweli kabisa, (additional) nchi kama CANADA utokea nchi nyingine,ukipata chuo cha kusoma, degree ya Kwanza, kile Chet chako cha form4 na form six kama kuna masomo umescore let say B, na Mengine A, wanaamini umefiel kwa Somo la B, kiasi kwamba watakwambia usome mwaka mmoja ili kusafisha Chet waone kama utaweza kwendana na uelewa wa wqnafunzi wenzako, lakini ukisoma elimu ya chini uko CANADA, mwalim anakufundisha kiasi kwamba KUPATA B, kwake anaona hujamuelewa, huku BONGO mwalim anaweza kukupa maks kidogo kwa bias yake Tu, kitu ambacho unaharibu future ya mtoto. Dr Mmoja mchaga anewahi nifanyia ushenzi huo...kisa anastress zake..
 
Hadi hapa nimesoma coments nyingi sijaona wa aliyeziorodhesha hizo combination/tahasusi ili tuzisome nasi tuweze kupata mwanga wa hicho kinachojadiliwa.

Tafadhali aliye nazo atuwekee hapa tuzione.
 
Ndio maana tulishauri kuwe na authority inayo simamia mitaala ya elimu kama ilivyo nchi nyingine zinazo endelea.

Jambo hili linahitaji watu wasomi, wenye uelewa mkubwa wa dunia, walifanya vizuri kwenye elimu na watu wasio na njaa.

Hizi taasusi ni kama zimetengenezwa na baraza la madiwani.

Tutakuja kuwa na kizazi kisicho na uelewa wa mambo.

Mtoto anaanza kuspecilize akiwa form 3 na form v anasoma fasihi na kingereza.

Kuna nchi moja kubwa duniani tulienda kusoma huko, form 5 unasoma masomo kama 7 hivi ila core subject ni kama 3.. mfano kama umechukua science basi utasoma Biology, chemistry, physics, mathematics, languages, economics, uraia ambayo inasoma kuhusu nchi husika.pamoja na IT.

Kwenye science kuna science 1 and science 2

Wale wanao chukua science 1 ambayo ni kama PCB, masomo hayo matatu yanakua na coefiecient (weight) ya 5 na mengine yote inclusing chemistry yanakua na coeficient (weight) ya 2.

Wale walio soma chuo nadhani mnanielewa.

Kwa hiyo mwanafunzi akimaliza a level anakuwa na maarifa ya kutosha.

Tutakuja kuwa na watanzania ambao hawata kuwa na qualificatiom za kwenda vyuo vya nje kwa sababu kuna taasusi ziwekwa kqa kusikiliza wana siasa.

Kuna mambo ambayo yanatakiwa kufundishwa kwa mtanzania kama kilimo kwa kila mwanafunzi, madini, utalii etc.

Wakati nchi nyingi zenye watu wenye kujitambua, wanafanya kila wawezalo kuboresha na kuweka msisitizo mkubwa wa "technology & innovation" katika nyanja zote za elimu ya vijana wao, kwa Tanzania watawala wetu wanaona mambo ya dini ndiyo muhimu.

Nchi ambayo ni "secular state" tena katika karne hii ya 21 ina watawala wenye mitazamo iliyojaa hila mbaya ndani yake kwa kisingizio cha dini! Badala ya kutengeneza mfumo wa elimu uliokuwa "uniform, fair & consistent" ili vijana waweze kushindanishwa na kupimwa katika vigezo vinavyofanana, wao wanaenenda tofauti.

Hii inaonyesha "think tank" ya nchi kwa sasa ina walakini. Kama nchi tunahitaji "paradigm shift" ili kutoka katika mfumo wetu wa sasa ulio "dysfunctional" ambao umejaa makanjanja, chawa, vilaza, wababaishaji, na watawala wasiojielewa.
 
Ndio maana tulishauri kuwe na authority inayo simamia mitaala ya elimu kama ilivyo nchi nyingine zinazo endelea.

Jambo hili linahitaji watu wasomi, wenye uelewa mkubwa wa dunia, walifanya vizuri kwenye elimu na watu wasio na njaa.

Hizi taasusi ni kama zimetengenezwa na baraza la madiwani.

Tutakuja kuwa na kizazi kisicho na uelewa wa mambo.

Mtoto anaanza kuspecilize akiwa form 3 na form v anasoma fasihi na kingereza.

Kuna nchi moja kubwa duniani tulienda kusoma huko, form 5 unasoma masomo kama 7 hivi ila core subject ni kama 3.. mfano kama umechukua science basi utasoma Biology, chemistry, physics, mathematics, languages, economics, uraia ambayo inasoma kuhusu nchi husika.pamoja na IT.

Kwenye science kuna science 1 and science 2

Wale wanao chukua science 1 ambayo ni kama PCB, masomo hayo matatu yanakua na coefiecient (weight) ya 5 na mengine yote inclusing chemistry yanakua na coeficient (weight) ya 2.

Wale walio soma chuo nadhani mnanielewa.

Kwa hiyo mwanafunzi akimaliza a level anakuwa na maarifa ya kutosha.

Tutakuja kuwa na watanzania ambao hawata kuwa na qualificatiom za kwenda vyuo vya nje kwa sababu kuna taasusi ziwekwa kqa kusikiliza wana siasa.

Kuna mambo ambayo yanatakiwa kufundishwa kwa mtanzania kama kilimo kwa kila mwanafunzi, madini, utalii etc.

Sijiulaumu kwa kupeleka watoto wangu kusoma Kenya.
 
Hadi hapa nimesoma coments nyingi sijaona wa aliyeziorodhesha hizo combination/tahasusi ili tuzisome nasi tuweze kupata mwanga wa hicho kinachojadiliwa.

Tafadhali aliye nazo atuwekee hapa tuzione.
Tahasusi-2.jpeg
Tahasusi-3.jpeg
Tahasusi-4.jpeg
Tahasusi-1.jpeg
 
Hakuna mwenye akili afute hiyo mitaa mipya.zNimechukia Sana kuleta huo ujinga.
 
Miaka siyo mingi wanafunzi wa Tanzania watakataliwa kujiunga na vyuo vya nje..
 
Kuna nchi moja kubwa duniani tulienda kusoma huko, form 5 unasoma masomo kama 7 hivi ila core subject ni kama 3.. mfano kama umechukua science basi utasoma Biology, chemistry, physics, mathematics, languages, economics, uraia ambayo inasoma kuhusu nchi husika.pamoja na IT.
Mtu muongo kama wewe kujua unaongea uongo ni kitu kidogo tu

Hiyo nchi uliyoenda haina jina tuhakiki mwongo wewe
 
Back
Top Bottom