Naomba nije nifanyie field kwako

Moja ya fani nzuri, jitahidi upate sehemu nzuri na ukipata piga kazi kweli kweli, jifunze kwa bidii zote, jishushe mbele ya Senior zako.

Itakusaidia mbeleni.
 
Ninasomea fitter mechanical engineering Niko level two kama Una ofisi yaani workshop naomba nije nifanyie field kwako kama auto jali Kwa hapa Dodoma mjini tuu
Mkuu, jaribu kuweka sawa maelezo yako. Fitter mechanical engineering alafu level 2? hii imekaaje.
NB:
1. Fitter mechanics level 2-issued by Veta
2. Mechanical engineering second year- issued by Nacte
Nazani ulikuwa unamaanisha moja kati ya hizo
 
Back
Top Bottom