Salam wakuu, leo napenda kuwaletea machache kuhusu nchi ya Japan:-
1. Ina visiwa vikubwa 4; Hokkaido, Honshu, Shikoku, Kyushu na vingine vidogo 6,852.
2. Ina eneo la ukubwa wa 377,950 sq.km na idadi ya watu 127 million.
3. 53.5 % ya eneo lote Japan ni milima. Eneo linalofaa kwa makazi ya watu...