Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Wakuu poleni na kazi.
Naombeni ushauri kuhusu MCHAKATO,GHARAMA & UHAKIKA wa aidha kuagiza gari ndogo nje ya nchi (Japan) na kununulia kwenye show room hapa nchini Tanzania.Hasa gharama, mchakato wake na uhakika (uimara) wa gari yenyewe.
Nataka kununua Subaru forester ya 2005 4WD.
Ikizingatiwa kwamba, kuna hili swala la UCHAKAVU.Gharama yake itakuwaje kwa gari ya 2005 au 2006 Automatic Subaru Forester 4WD na ambayo haijatembea zaidi ya 150,000 km.
Na je,kwa Dsm ni wapi pengine naweza kupata kwa bei nzuri, hata kama kwa mtu.
Naombeni ushauri ndugu zangu.
Naishi mkoani Singida.
Asanteni.