Recent content by mcmalck

  1. mcmalck

    Orodha ya timu zilizopanda daraja mpaka ligi kuu VPL

    Hivi bosi wake bado yule yule Muarabu almaarufu Mamuu?
  2. mcmalck

    Ajali mbaya kituo cha mabasi Ubungo

    Mbona mim niko ubungo sioni hiyo ajali, ubungo ya mkoa gani hiyo
  3. mcmalck

    Wale wa B.A ECONOMICS UDSM

    Apa sina comment
  4. mcmalck

    Nimemkimbia demu wangu jana, wahuni walitaka kunigegeda

    Hahaha, nimecheka sana Wangemgegeda uyo uyo dem wako kwa nini wakugegede wew? Iyo ni kufuru
  5. mcmalck

    Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

    Viumbe visivyonekana si viumbe hai tena
  6. mcmalck

    Hadithi ya kusisimua- Mimba ya Jini

    Dah mustapha anafanywa kitu mbaya na shehna dah
  7. mcmalck

    Wataalam wa computer naombeni msaada

    Tupigie picha mkuu iyo keybord yako tuone
  8. mcmalck

    KALI LINUX the best OS ever seen

    Nakubaliana na wew mkuu, bilashaka kwa organisation za hapa Tz kutumia linux Os bado sana mana ving wanafnya kwa sharing n wengi wa wafanyakazi hawako educated sana na linux, itawasumbua
  9. mcmalck

    Ohooo huu mchezo kumbe ndio manaa!!! Vijana!!!

    Ndio mana suruali anavalia kata k haha
  10. mcmalck

    KALI LINUX the best OS ever seen

    Apo mkuu naomba unielekeze kati ya hii KDE na Gnome? Na ipi nzuri?
  11. mcmalck

    KALI LINUX the best OS ever seen

    Uko wapi mkuu, mim naitaji iyo image yake hii yangu ni bad image so ninaitumia ku boot from flash (live CD). Nataka ni install permanent Niko Dar
  12. mcmalck

    KALI LINUX the best OS ever seen

    Labda hujanielewa icho kigezo cha wireless drivers ni kigezo kimoja wapo kati ya vingi nilivovipenda
  13. mcmalck

    KALI LINUX the best OS ever seen

    Habari zenu wakuu! Naomba kutengeneza hii thread maalum kwa ajil ya hii operating system, mim nimeanza kuitumia siku chache zilizopita lakini nilichokuja kuipendea mbali na kuwepo kwa tools nyingi za penetrations testing (hacking), lakini intrested things ni kuwa inakuja na prog nying built in...
  14. mcmalck

    Wajanja night imeongezwa bei au kuna tatizo?

    Bongo kuna watu wanajfanya vipemba sana utakuta wamesema kule, mwenyew nilikua muda wowote natumia wajanja
Back
Top Bottom