shape shifter
Member
- Mar 20, 2013
- 98
- 15
Mimi napendekeza iwepo Official Thread ya Linux ili mtu atakayetaka kujua kitu chochote kuhusu Linux anakwenda huko. Watu wengi wanasema OS za Linux ni ngumu, hii inatokana na ufahamu mdogo kuhusu Linux.
Mkuu wazo zuri sana hilo,mm nimeshatumia linux mint,ubuntu,backtrack na kali linux nimeidownload juzi ila bado sijaitumia