Wajanja night imeongezwa bei au kuna tatizo?

Wajanja night imeongezwa bei au kuna tatizo?

Vodacom ni mtandao pekee unaotoa Unlimited ya Internet ya mwez sasa
Bei 40,000/- kama wewe kweli ni heavy downloader kama unavyodai wewe basi hii itakufaa sana

Tatizo la unlimited wanalimit spidi ukishatumia GB kadhaa, nadhani ni 3 sikumbuki, so basically unatumia unlimited for half a day then spidi inakuwa kama 30Kbps, ambayo inafaa kwa email na FB mostly.
 
Tatizo la unlimited wanalimit spidi ukishatumia GB kadhaa, nadhani ni 3 sikumbuki, so basically unatumia unlimited for half a day then spidi inakuwa kama 30Kbps, ambayo inafaa kwa email na FB mostly.

Kwa hiyo neno (Bila kikomo) waliyoweka ni uswahili tu...
Mm nilijua ni bila kikomo mwanzo mwisho kumbe ukienda vibaya unaingia Mkenge
Wizi mtupu huu sasa
 
Kwa hiyo neno (Bila kikomo) waliyoweka ni uswahili tu...
Mm nilijua ni bila kikomo mwanzo mwisho kumbe ukienda vibaya unaingia Mkenge
Wizi mtupu huu sasa

.
Don't try this at home!
.
Walianzaga kufanya hivi hivi kwenye vile vya wiki @ 10000/= ilikuwaga!
.
Nikajaribu hicho unlimited kwa 40000/=
kipindi hicho nashusha IRIS season 2....
.
Lol baada ya GB 5 tu wakafanya yao! 30kbps unaweza ukajuta!
.
 
Vodacom ni mtandao pekee unaotoa Unlimited ya Internet ya mwez sasa
Bei 40,000/- kama wewe kweli ni heavy downloader kama unavyodai wewe basi hii itakufaa sana
hahahahaaaaa kaka njunwa nishajaribu mkali, ila ndo yale yale after 4 gigz the thing z out, yani ni kb 27 per sec mpaka mwezi unaisha, welcome to voda land of the data vampirez, they dnt care at ol.
 
duuuuu haya sasa majanga maana nisha nunua vocha kama za buku 3 hivi nikizani sim haina Salio?
kumbe wamebuma
 
leo nimejaribu bado bila bila, ila salio linazidi kukatwa sijajua kwanini?
fanya uchunguzi kuungwa huungwi ila salio linakatwa
 
Hii ni shida, Internet bongo majanga. Kwa sasa naona hakuna kimbilio kabisaa. Airtel Wameshusha ukubwa wa vifurushi, Voda Unlimited ni Ugali kwa picha ya samaki, Tigo (waste of time), Bundle kasungura spidi ya kinyonga.
 
Wapi tutapata sulihisho la internet hapa bongo? Manake wote ni majanga, hakuna anaetoa kitu cha kueleweka.
 
mara ya mwisho mi nimedownlaod 12 gb guess walikuwa na matatizo

mkuu mie nimedownload 36GB tena kwa 500 tu, siku 3 mchana, asubuhi, jioni, usiku... ilikua raha tu, kunawajinga wamesha sema
 
Bongo kuna watu wanajfanya vipemba sana utakuta wamesema kule, mwenyew nilikua muda wowote natumia wajanja
 
Back
Top Bottom