Recent content by mchongi

  1. M

    Kikwete anastahili sifa

    inatusaidia nini kama anaweka mifumo lakini anashindwa kufanyia kazi matunda ya mifumo husika? Nyie ndio mnafurahia wingi wa shule bila kusikitikia wahitimu mbumbumbu... Kwa taarifa yako ni bure kuoga kwa nje wakati rohoni unajua u-mchafu. Apewe sifa kama anayoyaanzisha yanabadilisha maisha ya...
  2. M

    Tbc vipi matangazo yenu hayana sauti waha jamaa ni aibu ya taifa

    yaani utadhani hawana fundi mitambo.. ovyo kweli
  3. M

    Live on star TV mtazamo baada ya matokeo ya Arumeru

    sio usingizi sema ndo sura ya kiume hahahahahaha... Hongera Star TV kwa updates. PEOPOOOOOOOOOZZZZZZZ POWERRRRRRRRRRRR
  4. M

    Maneno ya Nape kuhusu uchaguzi wa Arumeru on fb

    Sheria ya nchi hairuhusu kichaa kuongoza jimbo hivyo Mtera wajue hawana mbumge.
  5. M

    Baada ya ushindi wa CDM Arumeru awamu inayofuata iwe L. Lusinde

    huyu jamaa kajidharirisha sana hata kama hana elimu asingefanya utumbo wote huo,, kweli hawa ndio vijana wa CCM walioandaliwa vema kuongoza watanzania? mimi ningeambiwa nisingeamini ila kwa kuwa nimeona basi naamini kuwa mfumo wa kuwapata wabunge sio sahihi maana wengine hata hawafai kuwa baba...
  6. M

    Watangazaji Mmetuangusha sana!!

    amenikera kwa sababu kama chombo huru cha habari mnalala ili atuhabarishe nani? eti wametoka wakaweka mizengwe duh tanzania news coverage bado kabisa... TBC hao wala siwahesabu maana wao ni idara ndani ya wizara na ni wasemaji wa serikali ni UMMA.. ebu jifunzeni kwa wenzetu kenya wanavyoreport...
  7. M

    Report ya Jairo full text

    ebu turushie mambo
  8. M

    Clouds FM wafa rasmi!!!

    Aruuuuuuuuuuuuu!!!!!!1
  9. M

    Bomu la machozi bungeni. Fundisho Tanzania?

    duuh kaamua jamaa
  10. M

    Kamati Kuu CCM yawaka moto; Taarifa ya Kamati ya maadili yaumiza kichwa wajumbe

    msamehe jamani ni post yake ya 2 tuu akikua ataacha!!!!!!!!
  11. M

    Msimamizi mkuu wa uchaguzi Igunga adhihirisha kuipigia chepuo CCM!

    Kumpa mkurugenzi wa halmashauri ndo awe msimamizi mkuu wa shughuli za uchaguzi ni ukiritimba maana yeye ni mwakilishi wa serikali inayoundwa na chama fulani (tawala) so sishangai kama kashangilia maana ni sawa na kesi ya nyani kuiba mahindi unampelekea ngedere ndo awe hakimu unategemea nini...
  12. M

    Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

    Hongera zenu mlioshinda,... japo msome alama za nyakati maana pamoja na kupeleka viongozi wanao/waliokuwa wanaheshimika kijamii kama rais wastaafu na mawaziri bado ushindi ni mwembamba na sehemu kubwa ya jimbo ni vijiji ambapo hata kusoma na kuandika ni taabu, maali ambapo siasa za upinzani ni...
  13. M

    Chuo cha mipango (irdp) dodoma.

    kijana jiandae kukamatwa maana inaonekana unawasiwasi sana....! usipojipanga kweli itakuwa devolopment badala ya development.
  14. M

    Hodi! Mie wa kuja, ndugu.

    karibu zingatia masharti ya humu ndani hope utadumu na kupapenda!
Back
Top Bottom