Clouds FM wafa rasmi!!!

Clouds FM wafa rasmi!!!

Mbona ccm wanakusanyikaga pale chako ni chako dom?
Starehe ruksaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

lakini chadema si wamekatazwa na polisi kufanya mkusanyiko wowote nchini?
 
Walivyo wajanja na wao wataanzisha sho yao pale Kijitonyama

we uko wap ndugu yangu jamaa washaandaa bonge la shoo wakishirikiana na straight music wanamdondosha fabolous na dmx pande za leaders club on the same day.
 
Hakuna lolote. Hao vinega ni mbio za sakafuni. Nawapa mwaka mmoja tu, umoja utavunjika. Watarudi clouds kuomba radhi.
 
Sugu atatumbuiza viwanja vya ustawi wa jamii na album yake ya Anti virus itakuwa hewani
Sasa akitumbuiza ndio clouds inakuafa,kwani ameshatumbuiza mara ngapi na bado ipo hewani,mi sina bifu na clouds wala sugu ila hiyo siku minitakuwa pande za leaders nikimshuhudia mnyamwezi fabulous na kaka yake DMX!!
 
Watu wengine mnataka watu tupate burn 2
 
wengine tulio mbali na mjini hatujawaelewa jamani...tusaidiane kupeana taarifa
 
Show kufanyika muda mmoja haitaanza hiyo siku. Mbona fm academia huwa wanafanya show na akudo au twanga muda mmoja ila sehemu tofauti na huwa hamsemi? Au mnashabikia bifu?
 
Back
Top Bottom