Chuo cha mipango (irdp) dodoma.

Kna yeyote aliyechaguliwa chuo hik mwaka huu au anaendelea kusoma, tunaweza fahamiana kabla hatujajoin chuo, waweza ni PM.
 
Karibu Dodoma mkuu, andaa calculator pale kuna kitu kinaitwa QT (Quantitative Technics/Methods) na nyingnezo.
 
Wasalam wana jamvini, natumai mko bukheri wa afya.
Mdogo wenu nimefanikiwa kupata nafasi kusomea degree ya population and devolopment planning, (2011). Kwa wale ambao wameshasoma au kukifahamu vizuri, naomba kunipa ushauri na maono yenu kwa mdogo wenu wakati nitapojiunga rasmi.
Nawasilisha.


kijana jiandae kukamatwa maana inaonekana unawasiwasi sana....! usipojipanga kweli itakuwa devolopment badala ya development.
 
kijana jiandae kukamatwa maana inaonekana unawasiwasi sana....! usipojipanga kweli itakuwa devolopment badala ya development.
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
vp mbona umeni underestimate? Acha dharau, hujui uwezo wangu mpaka nimefikia hapa. Tnx kwa mchango wako.
 
Ilopo ni kuitumia hiyo nafasi vizuri kwani ni wengiwanaitamani All the best
 
Back
Top Bottom