Recent content by Mchokoz

  1. Mchokoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sawa mwanaume kumwambia mwanaume mwenzie especially kwa msg kuwa i love you so much?

    Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mchokoz

    JamiiForums Tanzania Nahitaji modem

    Kichwa cha habari kinajieleza [emoji736] Iwe na uwezo wa 4G [emoji736] Ikiwa unlocked itakua vizuri zaidi [emoji736] Napatikana Mwanza Nitajie model ya hiyo modem bei na speed yake tuwasiliane.
  3. Mchokoz

    JamiiForums Tanzania Uza laptop

    Unapatikana wapi mkuu
  4. Mchokoz

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu system ya huawei y530

    Hivyo nikijaribu haiwaki kabisa mkuu
  5. Mchokoz

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu system ya huawei y530

    Ninatatizo kama hilo mkuu nimepakua firmware inayoendana na simu yangu lakini kuna sehemu ikifika ina fail inaandika "some symlinks failed" naomba msaada hapo mkuu Cc churaxzbt8
  6. Mchokoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

    Asante sana kwa somo kaka mshana
  7. Mchokoz

    JamiiForums Tanzania Bilioni 6 kupelekwa kwa Rais nini maana yake?

    Mbona hizo pesa zimepelekwa kwenye kutengeneza madawati mkuu
  8. Mchokoz

    JamiiForums Tanzania Voda na Halotel mtuonee huruma

    Mtandao ukiwa chini okota uuweke juu au mahala panapofaa
  9. Mchokoz

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa u-genious na Ukichaa

    Napenda sana hizi movie mkuu kama unazijua nyingine naomba unitajie
  10. Mchokoz

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia Tigo pesa code kujisajili TCU

    Hiyo voucher Number ni siri yako haukutakiwa kumuonyesha mtu wala kuiweka humu kwa sababu mtu yoyote anaweza kuitumia,inabidi uitumie haraka kabla hajaitumia mtu mwingine,
  11. Mchokoz

    JamiiForums Tanzania Ng'i Ng'u Ng'wa Ng'we Ng'wi Ng'wo Ng'wu

    lugha gan kaka iyo?
  12. Mchokoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume MMU tunakera sana

    Nipo U.S.A nimeona uzi wako.
  13. Mchokoz

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa The new miono high school

    Hakuna aliepata joining instruction? Mwenye namba za mkuu wa shule pia anitumie.
  14. Mchokoz

    JamiiForums Tanzania New Miono high school

    Mkuu ni Miono high school au Miono Hotel.
  15. Mchokoz

    JamiiForums Tanzania New Miono high school

    Nilizan ni mimi 2 kumbe weng ha2japata joining. Bac sawa pamoja from Mwanza 2 Miono.
Back
Top Bottom