Recent content by mchambuzixx

  1. mchambuzixx

    Gwajima: Makonda ni zero brain, amuomba Magufuli kumpangia kazi nyingine

    Yaani wewe ndio ovyooo aliemuanza mwenzake no nani...
  2. mchambuzixx

    Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    Yaani nipige simu namtongoza mtu halafu nijirekodi ni zero brain tu ndio ataamini huu upuuzi
  3. mchambuzixx

    Taarifa za kukanusha tuhuma za audio inayosambazwa ikumhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe

    We akili huna hivi mtu anaweza kujirekodi upuuzi ule ili iweje mi cna chama nilivyosikiliza tu audio nikajua fake.....yaani mm nitongoze mwanamke halafu nijirekodi ni mambumbu tu ndio watakaomini
  4. mchambuzixx

    AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

    Maelezo yanajitosheleza labda useme hujaelewa nn
  5. mchambuzixx

    AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

    kama una una mobdro apk cheki na being in sports 8 wako live
  6. mchambuzixx

    Line za TTCL zinaopatikana wapi hasa maeneo ya Kinondoni?

    Zinapatikana kwenye shop zao nenda mliman city na kuna vijana wengi wanatembeza hilo bando ni hatari mi nalipaga buku kwa 10gb naseti torrent zangu asubui mzigo wote Kenosha ...speed yake ni hatar...mkuu ni 4g hio na pia 3g yao pia ni shida wao wanatumia fiber
  7. mchambuzixx

    Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Wengi wame edit vyeti walibadilisha madaraja mou Zapata d zote kaenda ku edit lawnmowers b
  8. mchambuzixx

    TTCL mnatufanya hatulali na toboa bando, harakisheni kusambaza mtandao nchi nzima

    TTCL kwa kweli mmenifurahisha na bando lenu la toboa hatulali tunakesha kwenye torrents. Yaani buku kwa 10GB kuanzia saa 6 ucku kwa kweli ni raha tupu. Ombi langu kwenu harakisheni kusambaza mtandao nchi nzima soko la mobile bado liko wazi kama mimi sijaweka bando mtandao mwingine nna mwezi...
  9. mchambuzixx

    Swali kwa kampuni ya simu TTCL

    Wape mda kaka ...huduma zao ziko vzur ndio wameanza kujitanua
  10. mchambuzixx

    Swali kwa kampuni ya simu TTCL

    Ndio wameanza wapeni mda kuweka BTS ni guarana hata hao wengine walianza mdogo mdogo ukiondoa halotel ......ttcl wanatumia hela wanazokusanya kwenye biashara ya fixed network kufanya investment kwenye mobile ila mtandao wao kwa kweli uko vzur balaa mwanza huku mitandao mingine nmetupa kule mana...
  11. mchambuzixx

    Tangu asubuhi leo mitandao ya simu(voda, airtel, tigo) Mwanza na internet havifanyi kazi, kunani?

    mkongo wa taifa ulikatika maeneo ya BUHONGWA kwa mbele na wakandarasi
  12. mchambuzixx

    Heko Rais Magufuli kwa msimamo thabiti. Shikilia hapo hapo. Kelele za Mlango Zisikukoseshe Usingizi!

    paskal kwa tasfida tuu hujambo ...nmesoma comment za wengi hawajakuelewa wameingia kichwa kichwa
  13. mchambuzixx

    Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

    paskal ni mchochezi ukisoma alichoandika kwa juu juu huwezi kuona ujumbe uliomo humo wengi mmeingia kichwa kichwa..........
  14. mchambuzixx

    TTCL yazindua 4G Mwanza

    sijazicheki nimetumia kwanza ile ya ofa ukinunua line unapewa na 3gb ya week...ntaanza kununua ya ofa nikimaliza
Back
Top Bottom