mkuu, hizo line zao za ttcl zinatumika kwenye simu yoyote? maana kuna kipindi walikua na simu zao speshoZinapatikana kwenye shop zao nenda mliman city na kuna vijana wengi wanatembeza hilo bando ni hatari mi nalipaga buku kwa 10gb naseti torrent zangu asubui mzigo wote Kenosha ...speed yake ni hatar...mkuu ni 4g hio na pia 3g yao pia ni shida wao wanatumia fiber
Kama uko kinondoni kina TTCL shop njia ya kwenda makumbusho baada ya kuacha njia ya kwenda Morocco,karibu ma kwa raisi simba . Au nenda kijiyonyama Karibu na kituo cha sayansi. Kuna TTCL mkoa wa kinondoni ( TTCL SOUTH) opposite na jengo LA sayansi. Hao majamaa bundle zao no hatari, wana speed si kawaida.Kuhusu line , nyingi in 4G hizi line hutumia smartphone advanced kidogo. Ila hiyo line inaweza kufanywa isome 3G au hata 2G. Karibu kwenye ulimwengu wa T.generation mkuuMkuu hapo Kariakoo kituon, sehem gan pale kesho nizuke mapema.
Asante mkuu...Yah nna simu yenye 4G.Kama uko kinondoni kina TTCL shop njia ya kwenda makumbusho baada ya kuacha njia ya kwenda Morocco,karibu ma kwa raisi simba . Au nenda kijiyonyama Karibu na kituo cha sayansi. Kuna TTCL mkoa wa kinondoni ( TTCL SOUTH) opposite na jengo LA sayansi. Hao majamaa bundle zao no hatari, wana speed si kawaida.Kuhusu line , nyingi in 4G hizi line hutumia smartphone advanced kidogo. Ila hiyo line inaweza kufanywa isome 3G au hata 2G. Karibu kwenye ulimwengu wa T.generation mkuu
vp kwenye Simu ya 3G inakubali?Kama uko kinondoni kina TTCL shop njia ya kwenda makumbusho baada ya kuacha njia ya kwenda Morocco,karibu ma kwa raisi simba . Au nenda kijiyonyama Karibu na kituo cha sayansi. Kuna TTCL mkoa wa kinondoni ( TTCL SOUTH) opposite na jengo LA sayansi. Hao majamaa bundle zao no hatari, wana speed si kawaida.Kuhusu line , nyingi in 4G hizi line hutumia smartphone advanced kidogo. Ila hiyo line inaweza kufanywa isome 3G au hata 2G. Karibu kwenye ulimwengu wa T.generation mkuu
Mkuu hapo Kariakoo kituon, sehem gan pale kesho nizuke mapema.
Mimi nipo KIGOMA. Vp naweza kupata hizi line za TTCL na kuweza kufurahia maisha?Upo mkoa gani? Sababu hawajasamba mikoa yote
Simu 2000.pale nje wapo.bei 2000Duh.... Had mliman..
Mliman ndani ndo kuna duka AU nje ya mliman ndo kuna hao vijana wanaotembeza?!
Half vp kuhusu vocha zake mkuu...
Kigoma bado.Mimi nipo KIGOMA. Vp naweza kupata hizi line za TTCL na kuweza kufurahia maisha?
Hazisomi kwenye vitochi au feature phone (2G).Ila zina majanga.nilisajili moja.ikawa haifanyi kazi.ukiwapigia cm hawapokei.nikamrudishia wakala.akanipa hela yangu