mchambuzixx
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,292
- 943
Kampunia ya simu Tanzania TTCL imezindua huduma ya 4g/LTE Mwanza. Tumeona speed yenu kwa kweli nimeinjoy leo baada ya kununua line yenu, lakini tunaomba huduma hii ambayo imezinduliwa kwa maeneo hasa ya jiji kwenda barabara ya Airpot mwisho coverage airpot kwenda barabara ya Musoma mwisho Kisesa na kwenda Shinyanga mwisho Usagara.
Tunaomba kama mlivyoahidi kuwa hadi kufikia mwisho wa mwaka huu coverage itakua nchi nzima muharakishe kwa kweli huduma yenu ni nzuri na mmebadilika kwa hicho kidogo nawapongeza sana. Mdogo mdogo mtafika tuu.