Recent content by mchaichai_dawa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Marehemu Wakili Nyaga Mawalla yaanguka na kuharibika 'write-off'

    R.I.P Bob. Mie nitauiza ndege yangu haraka.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya Wanaume kupenda makalio

    Wajukuu zangu mimi na wenzangu wa rika langu tunajisikia uchungu kuacha nyuma kizazi hiki. Ewe muumba wetu, ninakuomba umuokoe kijana huyu ili asipambane na ghadhabu zako.
  3. M

    JamiiForums Tanzania kwa wale mnaolalamikia shule za kata,oneni nchi nyingine

    Hapo Bangladesh
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kila anayenitongoza namzidi umri

    Pole sana, kwa huo umri wako, we subiri aliyefiwa na mkewe. Hao wadogo wanahisi wewe utawalea.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Wahaya kwa Wachagga

    Hiyo avatar yako inanikumbusha mbali sana kuhusu huyo mzee Alfred Polisi. Yupo wapi siku hizi baada ya kukosa ubunge huko nyumbani bukoba.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya CHADEMA na utawala wa Idd Amin?

    Wajukuu zangu mimi huwa nawakemea vijana wasiotoa hoja katika kujibu hoja kama wewe. Mbona unakurupuka tu mjukuu. Kwa kuwa hicho kinachosemwa ni chama chako, tumia jukwaa hili kumwaga hoja ili nasi tuchambue ambao si miongoni mwa nyie mnaochuana.
  7. M

    JamiiForums Tanzania SAID ISSA MOHAMED: Sitta alikuwa agombee urais CHADEMA 2010

    Mjukuu wangu unaonyesha unaupungufu wa elimu kuhusu makubaliano (negotiation technique). Makubaliano hayazuki tu, ni lazima upande mmoja utoe mapendekezo ya nini unakitaka, upande wa pili utaangalia vigezo vingi ili kukubaliana na ombi la mhitaji. Vigezo hivyo ni uwezo wa kumudu hitaji, umuhimu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania MAGIC FM: Anayekunwa na anayekuna nani anasikia raha?

    Mjukuu wangu, maneno hayo wameyatoa kwenye taarabu ya zamani kidogo. Imejaa tafsida, si rahisi kusema matusi moja kwa moja, lakini wako ni mtazamo. Kuna taarabu nyingi inasema, manahodha wa mashua kwanini wakae nyuma, ukisikia wimbo kwa kina utaona wanakemea tabia fulani katika mahusiano. The...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Pd Karugendo: Kwanini waliitaka sauti yangu?

    Mzee mwenzangu mbona unajihami sana. Don't be defensive, eleza unachofikiri ili uwape uhuru wanaochambua.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro mkubwa wafukuta TBC

    Mjukuu wangu, unapotoa hoja wenzako wanaipima ili waitekeleze kwa nia nia ya kuboresha mapungufu yaliyojitokeza. Kwa hoja yako hii unawapa shida wenzako na pia hujamtendea haki aliyekupeleka shule, hoja zako zinaonyesha uwezo wako. Ngoja niachane na wewe.Wajukuu zangu, mtoa habari anaonyesha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mch. Lusekelo: Mie na waumini wangu tutaendelea kula nyama iliyochinjwa na waislam

    Kijana wangu, mwenzako ametoa hoja, naamini nawe utaleta hoja ili tuzipambanishe. Hapo CV yake ya nini? Tupe yako kwanza kabla hujadai yake ili nasi tujue uwezo wako. Kumbuka, inawezekana umekwenda shule lakini hujaelimika mwanangu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania LADIES, Before you date a MARRIED MAN you should know this: (Must read and share)

    Maneno yako yapo sahihi binti yangu. Ninafurahi pia kuwa uliyajua haya mapeama baada ya kuelezwa na bibi yako. Kinachonisikitisha mimi ni kuyasema hayo baada ya kuachwa na mume wa mtu. Napata shida kupima busara yako mwanangu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa aporomosha matusi kuhusu suala la njama la kumuua Zitto

    Kujua nani mkweli na nani muongo ni kazi kubwa sana hasa wakati huu wa kuelekea 2015.
  14. M

    JamiiForums Tanzania ebu ona wake za watu wanavyokosa mambo!!

    Umeitoa kwa Kibonde Maji wa Clouds hiyo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Unasemaje kuhus hii picha?

    Hapo Sudan ya Kusini
Back
Top Bottom