LADIES, Before you date a MARRIED MAN you should know this: (Must read and share)

LADIES, Before you date a MARRIED MAN you should know this: (Must read and share)

see!dats mwanafunzi wa mimi bana!
contigency theory unafkr kwenye management tu?
:nono:
inakatiza mpka wapi sijui!

sasa basi deal iwe kwamba vile viboko usinchape tena si nimeshamake amends......:-*
 
sasa basi deal iwe kwamba vile viboko usinchape tena si nimeshamake amends......:-*
ahahahhaha tatizo lako masomo na topic zote tunaenda sawa,kwenye hii topic ya mabwaku vs @bolfo walahi sijui kama lesson plan yangu imeenda sawa!
kuanza mwanzo si ujinga!
ich bin die lehrerin!
kaine problem!
 
Tatizo wanawake bwana hata uwaimbie nyimbo gani hawajui kama mwanaume akishaoa basi akikutaka ni kwa matamanio ya muda tu maana apende asipende atarudi kwa mke wake wa ndoa tu

not neccesarily my dear, kuna makundi mawili ya wanawake wanaotembea na waume za wtu. hapa mleta mada ameongelea nyumba ndogo ambazo ni singl.

kuna kundi hatari la nyumbandogo/nyumba kubwa au wake za watu. hili kundi ni balaa kuliko hilo la kwanza.

napita tu
 
ukifika uendako, utuambie ayanda. sawa bebii? LOL
 
Last edited by a moderator:
ahahahhaha tatizo lako masomo na topic zote tunaenda sawa,kwenye hii topic ya mabwaku vs @bolfo walahi sijui kama lesson plan yangu imeenda sawa!
kuanza mwanzo si ujinga!
ich bin die lehrerin!
kaine problem!

Imeenda sawa kabiswa mwalimu wangu snowhite, sema labda nilielewa sana? LOL
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mjumba , nani alikudokeza kuna dadas wanapenda married men? wote wanataka what they want. Mdada-- money, plus sex , dume-- sex. Tena wanafaidi mara mbili. Wadada wanatafuta sana waume za watu kwa sababu hiyo, hivyo hizo dondoo hapo juu haziaply for sure.Wala hawatakusiliza in the first place.
 
Maneno yako yapo sahihi binti yangu. Ninafurahi pia kuwa uliyajua haya mapeama baada ya kuelezwa na bibi yako. Kinachonisikitisha mimi ni kuyasema hayo baada ya kuachwa na mume wa mtu. Napata shida kupima busara yako mwanangu.
 
Umeona eehh.... akili huja baada ya matatizo!!!!:yo:
 
ndio mjue hivyo nyie akina dada humu jf mnaotoka na waume za watu...mkae mkijua sio rizki yenu hata iweje, mnajitafutia dhambi zinazoweza kuepukika kama huna hulka hiyo! huyo atabaki kuwa na mkewe hadi kifo kimkute wakati wewe ushatumika na kupoteza muda wako, not to mention na dhambi hiyo juu! poleni sana, tafuteni wenu sio kubambia vya watu mtalaanika bure! aagghhhrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
9. You will never be part of his future, so stop wasting your time and energy. Cease serving your bodyto him because he gives you some money, because he promised you something…

Nafikiri kuna kitu kinakosekana hapa. Nyakati hizi ni zile ambapo nyumba ndogo ni mke wa mtu na mpenzi wake ni mume wa mtu pia, na ingawa wote kila mmoja ameweza jenga nyumba na mwenza wake lkn bado yeye na huyo mpenzi wake wa pembeni ni "wapangaji sehemu nyingine na wanalipa kodi"
 
Back
Top Bottom